katika kipindi tanzania inaflourish kiuchumi basi ndo mda huu, as we speak tanzania earns the most money in the region from exports, crazy money inaenda $26B in my last checks, The port is over full as we speak na miradi yote iliobaki inamaliziwa, Sasa inategemea na wewe level yako pia ya uchumi iko vp, because of you were expecting labda wawekezaji wajae bongo kama kenya, hicho kitu hakiwezekani, na hakuna atakaekuja kukikubali,
This is only applicable to kenya kama unataka investors wajae alafu nyie wengine mkakae kwenye slums ila kwa bongo hicho kitu hakipo na hakitakuja kuwepo, Utawekeza tu sehem ambapo kwel serikali itakua bado haijafika uwezo huo na pia hakuna private investor wa bongo anaweza kuihandle hio issue, other than that, dont expect non ending list of investors because they arent helpfull as you think, we call them investors but they are just business men and all they care at the end is maximum profits