stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 39,256
- 39,442
we jamaa hujamwambia poa 😂Unadhani total ni kampuni ya Bhimji Shah?
we jamaa hujamwambia poa 😂Unadhani total ni kampuni ya Bhimji Shah?
Arusha stadium ndiyo viwanja vya kisasa vipo hivyo mkuu, samahani lkn kama nimekukwaza.Tuonyeshe moja Kama hiyo yenye mlijenga Zamani.
Ni noma kaka. Viwanja vitatu vya motoo kwa mpigo. Jirani wao wanajenga viwanja kama vile vya ccm alafu wanatupigia kelele. 😂😂😂Ila watz mmeamua, mnajenga viwanja vitatu vipya at a go, simchezo.
mbna zipo, na sio kwenye treni tu hadi kwenye BRT zinakuja double deckDouble decker zipo zinasubiri muda muafaka.
unamuomba samahan kabisa asije kulia 😂Arusha stadium ndiyo viwanja vya kisasa vipo hivyo mkuu, samahani lkn kama nimekukwaza.
Eti samahani kama nimekukwaza. 😂😂Arusha stadium ndiyo viwanja vya kisasa vipo hivyo mkuu, samahani lkn kama nimekukwaza.
SawaSaa hii lazima iwe tu ya kupuuzi. A few days ago mlikuwa mkishangilia vile itajengwa Tanganyika. Mbona tushawazoea nyinyi minyamwezi kwa ubinafsi na ulimbukeni!
kama jamaa kasema havina ata vigezo vya TFFNi noma kaka. Viwanja vitatu vya motoo kwa mpigo. Jirani wao wanajenga viwanja kama vile vya ccm alafu wanatupigia kelele. 😂😂😂
jamaa anazingua sna, eti samahani kama nmekukosea 😂Eti samahani kama nimekukwaza. 😂😂
Well, Considering if Total Energies Kenya was a company in Bongolala, it would have been the biggest company by revenue in 2025; I think the French will not be taking financial advice from LDC Tandale dwellers.Unadhani total ni kampuni ya Bhimji Shah?
Mm sipo kiushabiki kaka, viwanja kama talanta ndiyo design za Africa, ila kwa Arusha nmeona uwanja wa USA unafanana design na wa Arusha, hizo ndiyo design za sasa za stadium, kama bank flan hv.unamuomba samahan kabisa asije kulia 😂
20 years without paying taxSeala hapa kubwa ni aina ya matakwa huyu Dangote kayaweka mezani kama criteria za kuinvest.
Ila, all in all, Tanzania itakuwa na refinery yake.
mbna tulishawaambia mapema si wanakaza intestineMm sipo kiushabiki kaka, viwanja kama talanta ndiyo design za Africa, ila kwa Arusha nmeona uwanja wa USA unafanana design na wa Arusha, hizo ndiyo design za sasa za stadium, kama bank flan hv.
Imebidi nmuombe samahani mana inawezekana nimem disappoint, si unajua watu wametumia pesa nyingi ila ss design ishapitwa na wakati.jamaa anazingua sna, eti samahani kama nmekukosea 😂
A franchise huh, there is also Total Tanzania.Well, Considering if Total Energies Kenya was a company in Bongolala, it would have been the biggest company by revenue in 2025; I think the French will not be taking financial advice from LDC Tandale dwellers.
si uongee bila kulia, Total energies ya kenya inahusiana vp na EACOPWell, Considering if Total Energies Kenya was a company in Bongolala, it would have been the biggest company by revenue in 2025; I think the French will not be taking financial advice from LDC Tandale dwellers.
Hujajibu swali langu bradhee.Arusha stadium ndiyo viwanja vya kisasa vipo hivyo mkuu, samahani lkn kama nimekukwaza.
Nisamehe bure kaka, battle iendelee 🙏Hujajibu swali langu bradhee.
Noana ulivyo reply post yangu, hukufanya upembuzi yakinifu.
Kindly, fanya hivyo kuavoid inconveniences.
😅😅 just cry in your mihogo farm hauna kitu kwa kichwa“I don’t think speed or range is necessary for rusty grounded junk.”
View attachment 3624158