Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndo maana nakuambia wapumbavu kama nyinyi hakuna mnalojua ? Raisi hawez kumfukuza waziri mkuu baada ya kupitishwa na bunge labda ajiuzuru sio kama kwenu ambako raisi anaweza honga makamu wa raisi afukuzwe.🤣🤣🤣🤣.
System yenu ni mbovu kuliko , the most corrupted . Imagine most of your projects ziko double the actual price na hakuna anayewajibishwa🤣🤣🤣🤣
Eti labda ajiuzuru. 😂 😂 😂 Bana kojoa ulale, umetuchosha na upumbavu wako leo.

pm.PNG
 
Eti labda ajiuzuru. 😂 😂 😂 Bana kojoa ulale, umetuchosha na upumbavu wako leo.

View attachment 3604667
Huna unalolojua punguani unategemea majibu ya google
Screenshot_20260609-224611~2.jpg


Halafu unatakiwa ujue rais haiwezi chagua prime minister bila go ahead ya chama na hawezi . Inshort Cha tawala ndo kinachagua waziri mkuu kama kinavyomchagulia makamu wa rais 🤣🤣🤣🤣
 
Unajaribu kabadilisha topic kama kawaida yako. Tunaongelea Singapore not bongoslum, the last time I checked bongoslum hakuna parliamentary system of government. Don't feed us with rubbish.
Bongo is a MiNO ( Multiparty in name only)… it’s a one party , one woman autocrat dictatorship..🤪🤪
 
Mwenzetu Nicxie mbona unahaha sana na kuanza kufukua makaburi ya Dar? Dar ilishatoka huko, picha uliyoleta ni ya more than decade. Lakini Gen-Z wanashukuru kwa kuwaonesha TBT.

Lakini picha hii haikupi uhalali wa kuacha kutuma picha moja ya Drone View ya Nairobi. Kuweka picha ya zamani sana ya Dar es salaam na kukwepa kuweka picha moja tu ya Nairobi watu wenye akili timamu wanaweza tafsiri kuwa ni wendawazimu. Lakini mimi siwezi kukuita kuwa wewe upo na mtindio wa ubongo kutokana na ukosefu wa chakula unaoikumba nchi ya kenya bali JF ni shule Mungu akipenda watu wa humu watakupatia msaada wa dawa ya ubongo wako.

Lakini dunia yote inasubiri picha moja tu ya drone view toka Nairobi
Ati kitambo na tunaona brt! 😅
Kama ni ya zamani hebu tuonyeshe picha latest ya sehemu hio..
 
Usiwe mjinga oyaaaaa

Singapore has a parliamentary system of government modeled after the Westminster system. It operates as a parliamentary republic where the Prime Minister serves as the head of government and the President acts as the head of state with limited custodial veto powers.
Muulize ni nani alipioneer transformation ya Singapore, ni president mgani 😅
Tell him to do a research on PM Lee Kuan Yew
IMG_0844.jpeg
 
Huna unalolojua punguani unategemea majibu ya googleView attachment 3604670

Halafu unatakiwa ujue rais haiwezi chagua prime minister bila go ahead ya chama na hawezi . Inshort Cha tawala ndo kinachagua waziri mkuu kama kinavyomchagulia makamu wa rais 🤣🤣🤣🤣

Unasoma katiba nusu nusu kama mtu hajaenda shule kwanini. Now go back to article 51 vile umeambiwa hapo juu, usiwe mjinga.

Article 51.

pm1.PNG
 
Unasoma katiba nusu nusu kama mtu hajaenda shule kwanini. Now go back to article 51 vile umeambiwa hapo juu, usiwe mjinga.

Article 51.

View attachment 3604691
Hiyo appointment inatokea baada ya hizo procedures zote za incompetence kutokea.
Hawez mfukuza tu bila kuwa na shida yoyote . Case study ilitokea kwa Edward lowasa hata baada ya kutofautiana kikwete hakuweza mfukuza bali procedures zote za kibunge zilifuatwa mpaka kushinikizwa kujiuzuru.
Ingekuwa anaweza Fanya hivyo asingesubiri mpaka bunge limshinikize.🤣🤣🤣
Inshort hawez mfukuza bila bunge kuidhinisha au waziri mkuu mwenyewe kujiuzuru.🤣🤣🤣
Na hawez teu mtu mwingine yoyote bila ya aliyekuwwpo kutoka madarakani.
Case study Edward lowasa.
 
Hiyo appointment inatokea baada ya hizo procedures zote za incompetence kutokea.
Hawez mfukuza tu bila kuwa na shida yoyote . Case study ilitokea kwa Edward lowasa hata baada ya kutofautiana kikwete hakuweza mfukuza bali procedures zote za kibunge zilifuatwa mpaka kushinikizwa kujiuzuru.
Ingekuwa anaweza Fanya hivyo asingesubiri mpaka bunge limshinikize.🤣🤣🤣
Inshort hawez mfukuza bila bunge kuidhinisha au waziri mkuu mwenyewe kujiuzuru.🤣🤣🤣
Case study Edward lowasa
The reasons ziko kwa katiba.
Sub article 3 clause (d) is very clear.
Sasa unabishana na katiba yenu, enyewe wewe ni pumbavu.
Unajaribu kubishana that only sub article 3 clause (e) ndio pekee inafaa ku apply what about clauses a to d?

pm1.PNG
 
Back
Top Bottom