Unajua unatusumbua sana hapa jukwaani na comments zako hizi zinazoongelea trivial issues. Watu humu JF wanajadili big projects zenye kuvutia uwekezaji mkubwa.
Hivi unajua kuwa Kenya ndiyo inaongoza kwa Second hand clothes Africa? Yaani Population yenu ni ndogo lakini mnaongoza juu ya Nigeria. Maana yake wakenya wote wanavaa Second Hand Clothes
View attachment 3605109
Pili tukianza kuorodhesha hapa big projects in Tanzania na values zake nina wasiwasi utapotea hapa JF. But ngoja tuende na wewe mdogo mdogo