Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1781046852168.png
 

Attachments

  • 1781046812150.png
    1781046812150.png
    985.2 KB · Views: 20
Ati kitambo na tunaona brt! 😅
Kama ni ya zamani hebu tuonyeshe picha latest ya sehemu hio..
Sasa vitu vidogo tu hivi vya kujua BRT ilianza lini Tanzania vimekushinda discussions nzito utaziweza?

Kwa lengo la kuweka taarifa sawa kwa wasomaji BRT ilianza 2012, hadi leo 2026 ni miaka zaidi ya 14.
Picha iliyowekwa na hawa wenzetu ni ya 2014 kipindi cha Kikwete.

But tunawashukuru kwa TBT, Gen-Z watapata kujifunza.

But hii yote ya kujizungusha ni kuhusu picha moja ya drone ya Nairobi watu wote humu wanaisubiri.
Je, hutaki kuileta? Au ni ile tabia yenu ya mwezi mchanga?
 
If we have peaceful elections next year .. Kenya will take off in a way unimaginable… I have inside sources…… people just waiting on the sidelines… save my post … 🤪
Kila mtu anajua uchaguzi nchini Kenya ni chaos. Tena mwakani kwasababu Ruto siyo kikuyu Mungiki watachinja kila mtu anayeenda kinyume nao.

Cha pili unatuletea siasa za kizamani sana za watoto wadogo eti "I have inside sources" 🤣 🤣 🤣 🤣 Unadhani hapa JF ni watu wenye mawazo kama Kibera dwellers?

Tatu humu watu wote wanakujua ulimbukeni wako wa kushadadia vitu vya wazungu na uwezo wako wa kufanya kazi.

To cut a long story short, "Kenya is moving backwards" everyone knows this.
 
Mathare
View attachment 3604286
Vingunguti
View attachment 3604288

Mukuru slumView attachment 3604294
Tandale middle-class area
View attachment 3604295

Kawangware slum
View attachment 3604298View attachment 3604307
Mabibo middle-class area
View attachment 3604308

Kangemi slum
View attachment 3604310
Chang'ombe middle-class area
View attachment 3604311

Dandora slum
View attachment 3604322View attachment 3604323
Buguruni middle-class area
View attachment 3604324

Baba Dogo slumView attachment 3604331View attachment 3604332
Manzese middle-class area
View attachment 3604334View attachment 3604335

You have a long way to go bongolalas
Screenshot_20260525-203802.png
Screenshot_20260504-111332.png
Screenshot_20250927-224903.png
Screenshot_20260525-203657.png
maku unafisi tufanane
Screenshot_20260525-203822.png
 
Najua ndugu zetu Teargass mwaiofhawaii Nicxie nairobae nyangau mkenya kennedy0000 NairobiWalker hili jambo haliwahusu, lakini ni muhimu mkajua.
Bagamoyo Special Economic Zone is real, ngoja niwaambie uwekezaji unaoendelea kwa sasa na ujenzi unaenda kwa kasi sana.

1. SINOVEST kutoka China inajenga mradi wa viwanda wenye thamani ya Dola za Marekani milioni 10 (Kiwanda cha nguo na kutumia pamba kutoka hapa nchini)

2. kampuni ya HWTZ, tanzu ya HONGWANG Group ya China ( inaendelea na ujenzi wa Eneo la Viwanda la Kisasa lenye ukubwa wa hekta 500 ndani ya mradi wa Bagamoyo Eco Marine City (BEMC)), Mradi huu wenye thamani ya dola za Marekani bilioni 1.5 unatarajiwa kuvutia uwekezaji wa jumla wa zaidi ya dola za Marekani bilioni 3 kutoka kwa zaidi ya kampuni na wawekezaji 150 watakaofanya shughuli zao ndani ya eneo hilo. Aidha, unatarajiwa kuzalisha zaidi ya ajira 5,000 za moja kwa moja kwa vijana wa Tanzania.

3. Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo - Africa Global Logistics (AGL) Tanzania Ltd inayomilikiwa na MSC ndiyo inayofanya Ujenzi na uendeshaji wa gati mpya tatu kubwa lengo ni kuwa na gati 28

1781069151388.png


1781069184219.png


1781069213961.png
 
Back
Top Bottom