President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,531
- 94,013
Nashukuru sana ndugu IamLee kuiletea jamii picha ya kwanza ya 2009 na picha ya pili ya 2014. Tunashukuru kutukumbusha tulipotoka. Hakika Mungu ni mwema mwaka huu ni 2026 tumeshatoka huko na tumesahau. Lakini comment yako hii tulikuwa tumeisahau kuiweka kwenye jumba la makumbusho asante kwa kutuletea.
Ukiona zingine kama hizi zitume hapa nitazichukua na kuwakabidhi wataalam wa archive.
Kumbuka ukubwa wa Dar ni mara tatu ya ukubwa wa Nairobi. Na hapa ni eneo moja ambalo Nairobi inamezwa yote.
Sina wasi wasi na wewe IamLee wewe ni mwanafunzi mzuri nitaendelea kukufundisha kidogo kidogo kuhusu Dar ili ukawasimulie na wenzako hapo Kibera waache ushamba, watoke kidogo waje kutembea Tanzania.