Mwenzetu
Nicxie mbona unahaha sana na kuanza kufukua makaburi ya Dar? Dar ilishatoka huko, picha uliyoleta ni ya more than decade. Lakini Gen-Z wanashukuru kwa kuwaonesha TBT.
Lakini picha hii haikupi uhalali wa kuacha kutuma picha moja ya Drone View ya Nairobi. Kuweka picha ya zamani sana ya Dar es salaam na kukwepa kuweka picha moja tu ya Nairobi watu wenye akili timamu wanaweza tafsiri kuwa ni wendawazimu. Lakini mimi siwezi kukuita kuwa wewe upo na mtindio wa ubongo kutokana na ukosefu wa chakula unaoikumba nchi ya kenya bali JF ni shule Mungu akipenda watu wa humu watakupatia msaada wa dawa ya ubongo wako.
Lakini dunia yote inasubiri picha moja tu ya drone view toka Nairobi