Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Usiwe mjinga oyaaaaa

Singapore has a parliamentary system of government modeled after the Westminster system. It operates as a parliamentary republic where the Prime Minister serves as the head of government and the President acts as the head of state with limited custodial veto powers.
Muulize ni nani alipioneer transformation ya Singapore, ni president mgani 😅
Tell him to do a research on PM Lee Kuan Yew
IMG_0844.jpeg
 
Huna unalolojua punguani unategemea majibu ya googleView attachment 3604670

Halafu unatakiwa ujue rais haiwezi chagua prime minister bila go ahead ya chama na hawezi . Inshort Cha tawala ndo kinachagua waziri mkuu kama kinavyomchagulia makamu wa rais 🤣🤣🤣🤣

Unasoma katiba nusu nusu kama mtu hajaenda shule kwanini. Now go back to article 51 vile umeambiwa hapo juu, usiwe mjinga.

Article 51.

pm1.PNG
 
View attachment 3604691
Hiyo appointment inatokea baada ya hizo procedures zote za incompetence kutokea.
Hawez mfukuza tu bila kuwa na shida yoyote . Case study ilitokea kwa Edward lowasa hata baada ya kutofautiana kikwete hakuweza mfukuza bali procedures zote za kibunge zilifuatwa mpaka kushinikizwa kujiuzuru.
Ingekuwa anaweza Fanya hivyo asingesubiri mpaka bunge limshinikize.🤣🤣🤣
Inshort hawez mfukuza bila bunge kuidhinisha au waziri mkuu mwenyewe kujiuzuru.🤣🤣🤣
Na hawez teu mtu mwingine yoyote bila ya aliyekuwwpo kutoka madarakani.
Case study Edward lowasa.
 
Hiyo appointment inatokea baada ya hizo procedures zote za incompetence kutokea.
Hawez mfukuza tu bila kuwa na shida yoyote . Case study ilitokea kwa Edward lowasa hata baada ya kutofautiana kikwete hakuweza mfukuza bali procedures zote za kibunge zilifuatwa mpaka kushinikizwa kujiuzuru.
Ingekuwa anaweza Fanya hivyo asingesubiri mpaka bunge limshinikize.🤣🤣🤣
Inshort hawez mfukuza bila bunge kuidhinisha au waziri mkuu mwenyewe kujiuzuru.🤣🤣🤣
Case study Edward lowasa
The reasons ziko kwa katiba.
Sub article 3 clause (d) is very clear.
Sasa unabishana na katiba yenu, enyewe wewe ni pumbavu.
Unajaribu kubishana that only sub article 3 clause (e) ndio pekee inafaa ku apply what about clauses a to d?

View attachment 3604701
Clause moja haiwezi kuwa conclusive ndo maana umepewa case study.
Ili raisi aweze teua waziri mkuu mwingine lazima kuwepo na allegations na ndo maana kuna section 53 inayoelezea . Hawez amka asubuhi na kumfuta kazi kisa wametofautiana, ingekuwa hivyo Samia angemfukuza majaliwa kitambo ila alishindwa sababu hakuwa na allegations zozote , sababu hawakuiva.
Mind you appointment ya waziri mkuu lazima iidhinishwe na bunge na wabunge wanaweza kataa pia.
Kila kifungu kwa Sheria kina backup yake,
 
Ndo maana tunawambiaga huwa hamnaga akili mnakariri Kila kitu.
Ushapewa case study hapo ingekuwa hivyo kusingekuwa na mahakama ya katiba kwa ajiri ya kitafsiri Katiba.
Nincompoops
 
Clause moja haiwezi kuwa conclusive ndo maana umepewa case study.
Ili raisi aweze teua waziri mkuu mwingine lazima kuwepo na allegations na ndo maana kuna section 53 inayoelezea . Hawez amka asubuhi na kumfuta kazi kisa wametofautiana, ingekuwa hivyo Samia angemfukuza majaliwa kitambo ila alishindwa sababu hakuwa na allegations zozote , sababu hawakuiva.
Mind you appointment ya waziri mkuu lazima iidhinishwe na bunge na wabunge wanaweza kataa pia.
Kila kifungu kwa Sheria kina backup yake,
Kama hujui kusoma katiba ni heri unyamaze, katiba yenu ina clauses tano on appointments, wewe ndio unaforce clause moja ya vote of no confidence by parliament pekee ndio inafaa kutumika yet rais anaweza tumia hata clause (d) akipenda ju iko kwa katiba. Kwa hivyo wale waliandika hio clause hawakua wanajua kitu wanafanya? 😂 😂
 
Ndo maana unaambiwa kitu kama hujui Bora ufunge mdomo, kuwepo kwa clause sio ndo Sheria . We ndo umeng'ang'ania hiyo clause moja.
Mimi nakuelezekeza kuwa kuna procedures mpaka rais kuja kufikia hayo mmamuzi ya kuteua mtu mwingine kuwa waziri mkuuu hawezi amka tu akaamua kumtoa, ndo maana ni mara kadhaa anavunja Baraza la mawaziri ila hawezi fukuza waziri sababu hiyo jurisdiction lazima ianzie bungeni na iliwahi tokea mara mbili tu in history waziri mkuu kutolewa madarakani.( Kawawa na lowasa)
Anapoteau akapitishwa na bunge tu, hawezi kufanya maamuzi ya kumuondoa bila bunge kuwa na baraka zake na procedures zipo.
Usikariri clause moja wakati tayari ushapewa case study hapo ya Edward lowasa.🤣🤣🤣🤣

Yaan kwenu uelewa wenu mdogo sana na inawasumbua sababu hamna waziri mkuu.
 
Kama hujui kusoma katiba ni heri unyamaze, katiba yenu ina clauses tano on appointments, wewe ndio unaforce clause moja ya vote of no confidence by parliament pekee ndio inafaa kutumika yet rais anaweza tumia hata clause (d) akipenda ju iko kwa katiba. Kwa hivyo wale waliandika hio clause hawakua wanajua kitu wanafanya? 😂 😂
mtupe ripoti jamani uko mashuka vp yanauzwa pia?

View: https://x.com/Kenyans/status/2064208605562249701?s=20
 
Back
Top Bottom