Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Is SGR a road for vehicles?🤣🤣😂
You are just showing us classical development

1779093430833.png
 
Hivi unatania au uko serious unaposema reli haiingii Dar port?
Njia yangu to and fro asubuhi na jioni napita sehemu kuna Tazara railway inapita juu kuingia port, napita sehemu SGR inapita chini kuingia port na napita sehemu MGR inapita on the ground level inaingia port. Kigamboni interchange,Gerezani bridge, South side of SGR station respectively.
SGR yenu haiingi port. Inaishia kwa a small yard next to the port.
 
Majamaa wanazitetea huwezi jua majuzi wamediscredit Talanta stadium just based on those seats.🤣🤣🤣
Ushagundua tangu wajue Arusha Stadium itawekwa bakuli seats waliacha kuongelea seats za Talanta?🤣🤣😂.

Alafu hiyo Stadium Yao is very ugly from inside🤣😂😂
 
Really?
Dangote anataka soko zima la East Africa lisiwe dumping site ya oul products toka nje, hivyo ni lazima tuwe binded na hizo restrictions. Hizi kinds of restrictions tulikuwa nazo kwenye first East Africa Community na Kenya kwa kufuata myongozo wa Washington waliharibu na kuvunja yote na kuzuia assets nyingi za jumuiya zilizokuwa karibia zote huko Kenya.
Hatiwezi rudia makosa yale tena. Dangote kama mwekezaji yuko huru kuwekeza pesa yake atakako na sisi kama nchi, given Uganda pipeline, S.Sudan, DRC na sisi soon tuna hit oil ni lazima tuwe na refinary yetu.

Sasa yeye Dangote awekeza huko Kenya kwa kutegenea crude imports atakutana na mziki wetu wa refinery with local crude na regional market groves ziko off.
Ataisoma namba kama ilivyo jwa SGR.
Unaonaje hii story ya refinery? Tukuskize wewe ama tumskize Dangote?😃😃
 
Back
Top Bottom