stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,720
- 34,410
wakati mnaambiwa the economy is on papers mlikua mnasemaje Teargass?
View: https://x.com/kenyanwalstreet/status/2056238353180406177?s=20
alikisema pia dangote, CBK haipo liquid, sio cha kushangaa sana as more than 20k companies have closed offices in pipeline because of the same problem, wao si hawataki kuexport wanataka bondsIssue ikija kwa refinery sasa GoK cannot pay up it shares as it has very limited fiscal space. Hela zote kwenye madeni na upigaji.
simple, sasa mgomo wa nn na watu wana disposable income
View: https://x.com/bbcswahili/status/2056256121224999368?s=20
When its time to make real payment,, the wholegdp cocnept becomes useless 😂😂 why are you comparing yourself with other nations
View: https://x.com/georgenjoroge_/status/2056228953824579676?s=20
Huwezi kushindana na Ethiopia fuel ipo subsidized kutokana na Ethiopia Airlines!Ila hapo TZ tunatia aibu,waondoe tozo hizo mafuta yashuke bei,mbona nchi zisizokua na bandari zimeweza!
Ila hapo TZ tunatia aibu,waondoe tozo hizo mafuta yashuke bei,mbona nchi zisizokua na bandari zimeweza!
This stadium is just ugly 😂Hapa game unaona na binnoculars. 😂 😂
You are not the first person to say that. The funny thing after saying but huwa mnarudi Tu to engage with me 😂😂Wewe ni wakupuuzwa.