Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 30,919
- 33,191
we nae ebu elea, i said nzuri means i am responding to his greetingsKwani Leo hii poty zimekuwa good seats?😂😂🤣
M7 kashafunga shuhuliReally?
Dangote anataka soko zima la East Africa lisiwe dumping site ya oul products toka nje, hivyo ni lazima tuwe binded na hizo restrictions. Hizi kinds of restrictions tulikuwa nazo kwenye first East Africa Community na Kenya kwa kufuata myongozo wa Washington waliharibu na kuvunja yote na kuzuia assets nyingi za jumuiya zilizokuwa karibia zote huko Kenya.
Hatiwezi rudia makosa yale tena. Dangote kama mwekezaji yuko huru kuwekeza pesa yake atakako na sisi kama nchi, given Uganda pipeline, S.Sudan, DRC na sisi soon tuna hit oil ni lazima tuwe na refinary yetu.
Sasa yeye Dangote awekeza huko Kenya kwa kutegenea crude imports atakutana na mziki wetu wa refinery with local crude na regional market groves ziko off.
Ataisoma namba kama ilivyo jwa SGR.
wanavopenda sifa mbna hawachelewiWasubiri currency yao idepreciate mpaka 400ksh ili wagundue udogo wa uchumi wao.
🤣🤣🤣
wacha kuropoka!Really?
Dangote anataka soko zima la East Africa lisiwe dumping site ya oul products toka nje, hivyo ni lazima tuwe binded na hizo restrictions. Hizi kinds of restrictions tulikuwa nazo kwenye first East Africa Community na Kenya kwa kufuata myongozo wa Washington waliharibu na kuvunja yote na kuzuia assets nyingi za jumuiya zilizokuwa karibia zote huko Kenya.
Hatiwezi rudia makosa yale tena. Dangote kama mwekezaji yuko huru kuwekeza pesa yake atakako na sisi kama nchi, given Uganda pipeline, S.Sudan, DRC na sisi soon tuna hit oil ni lazima tuwe na refinary yetu.
Sasa yeye Dangote awekeza huko Kenya kwa kutegenea crude imports atakutana na mziki wetu wa refinery with local crude na regional market groves ziko off.
Ataisoma namba kama ilivyo jwa SGR.
But what about this?😂😂🤣👇👇we nae ebu elea, i said nzuri means i am responding to his greetings
Hiyo Nairobi enyewe ina barabara moja tu ambayo ni 6 lanes. Unataja mombasa kuwa na 8 lanes.? Labda kama kwrnye ndoto.Wewe baboon Mombasa has an 8 lane and 6 lane roads hata kabla ya Dar.
Sasa mbona unataja Museveni ovyo ovyo?🤣🤣😂
Shidako ni Ushamba na ndio maana hata kushika chupa ya soda hujui.Hiyo Nairobi enyewe ina barabara moja tu ambayo ni 6 lanes. Unataja mombasa kuwa na 8 lanes.? Labda kama kwrnye ndoto.
Umeoga wewe chokoraa?
kwahiyo daraja linamaanisha Mombasa imekuwa na 4 lanes kabla ya Dar? Tar. ya kujengwa?Shidako ni Ushamba na ndio maana hata kushika chupa ya soda hujui.
This is Mombasa with a 8 lane section.
View attachment 3590461
Is this a 8 lane road or not?kwahiyo daraja linamaanisha Mombasa imekuwa na 4 lanes kabla ya Dar? Tar. ya kujengwa?
Daraja la urefu wa 5meters peleka South Sudan.
kwahio unahesabu mpaka pedestrian lane? wach kuwa desperate!