Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mali anasubiri kubatizwa:
1779115037368.png
 
Picha niliopost mimi hauzitaka unataka picha yako uliyoitia majivu. 😂😂😂😂 sasa ubaya ni kwamba huwezi badilisha kilichopo ground, kitu cgenye unaweza badilisha ni maneno na ubora wa picha tu. 😂😂😂
So hii sio Arusha Stadium tena?🤣🤣😂👇👇

1000274458.jpg
 
Hakuna mahala Dangote kaongelea Mombasa or your port, hizi ni nyange na figisu za media zenu ambozo zinafikiri propaganda za kupayuka kwenye social media takes a nation somewhere. 🚮
So TF siku hizi ni media ya Kenya?🤣🤣😂

Wall Street pia ni media ya Kenya?🤣😂
 
Back
Top Bottom