Really?
Dangote anataka soko zima la East Africa lisiwe dumping site ya oul products toka nje, hivyo ni lazima tuwe binded na hizo restrictions. Hizi kinds of restrictions tulikuwa nazo kwenye first East Africa Community na Kenya kwa kufuata myongozo wa Washington waliharibu na kuvunja yote na kuzuia assets nyingi za jumuiya zilizokuwa karibia zote huko Kenya.
Hatiwezi rudia makosa yale tena. Dangote kama mwekezaji yuko huru kuwekeza pesa yake atakako na sisi kama nchi, given Uganda pipeline, S.Sudan, DRC na sisi soon tuna hit oil ni lazima tuwe na refinary yetu.
Sasa yeye Dangote awekeza huko Kenya kwa kutegenea crude imports atakutana na mziki wetu wa refinery with local crude na regional market groves ziko off.
Ataisoma namba kama ilivyo jwa SGR.