Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,647
- 34,270
Kwani Leo hii poty zimekuwa good seats?😂😂🤣umeuliza habari ya leo nkakwambia Nzuri, then tuonyeshe foldable seats zenu
Kwani Leo hii poty zimekuwa good seats?😂😂🤣umeuliza habari ya leo nkakwambia Nzuri, then tuonyeshe foldable seats zenu
Ati hizi bakuli ni viti nzuri?😂🤣nzuri, ebu tuone za RAO pia
Evidence?Wewe baboon Mombasa has an 8 lane and 6 lane roads hata kabla ya Dar.
After mama claiming not to know anything about the project
nairobae mwaiofhawaii NairobiWalker
Kenya ni nchi ya watu wapumbavu sana. wanafikiri dunia imesahau??
View: https://x.com/KipepeComrade/status/2056091651349639172
Hizi bakui ni viti vya wafanyikazi according to one comrade Mapepo…🤣🤣🤣🤣
It’s hard to take seriously anyone who says the Samia stadium Bakuli seats are for workers …😆😆au sio comrade Mapepo …🤣🤣🤣🤣
Kila taifa litakuwa na stake kwenye hii project according to initial proposition; meaning, kutakuwa na protocols ambazo ni lazima kila nchi ziwe signatory kumaintain.Asset ni ya Dangote ama Dangote is a member of Jumuia?😂😂
Ruto ndie anaejengaKwani ni Museveni ndio anajenga refinery?
Google Makupa bridge and Dongo Kundu Bypass.Evidence?
Si mache basi, kwani kuna mwenye anawalazimisha kujiunga na Kenya to own part of that refinery?😂😂🤣🤣.Kila taifa litakuwa na stake kwenye hii project according to initial proposition; meaning, kutakuwa na protocols ambazo ni lazima kila nchi ziwe signatory kumaintain.
Unajua protocols za first jumuia na ujinga mlifanya dhidi ya General Tyre ya Tanzania?
Ebu tuambie SGR ni number gani inasonwa? SGR yenu hata haifikii in any port Terminal 🤣😂😂Ataisoma namba kama ilivyo jwa SGR
Unaskianga mambo wet dreams. That's what you are showing currently.na sisi soon tuna hit oil
Sasa mbona unataja Museveni ovyo ovyo?🤣🤣😂Ruto ndie anaejenga
we nae ebu elea, i said nzuri means i am responding to his greetingsKwani Leo hii poty zimekuwa good seats?😂😂🤣
M7 kashafunga shuhuliReally?
Dangote anataka soko zima la East Africa lisiwe dumping site ya oul products toka nje, hivyo ni lazima tuwe binded na hizo restrictions. Hizi kinds of restrictions tulikuwa nazo kwenye first East Africa Community na Kenya kwa kufuata myongozo wa Washington waliharibu na kuvunja yote na kuzuia assets nyingi za jumuiya zilizokuwa karibia zote huko Kenya.
Hatiwezi rudia makosa yale tena. Dangote kama mwekezaji yuko huru kuwekeza pesa yake atakako na sisi kama nchi, given Uganda pipeline, S.Sudan, DRC na sisi soon tuna hit oil ni lazima tuwe na refinary yetu.
Sasa yeye Dangote awekeza huko Kenya kwa kutegenea crude imports atakutana na mziki wetu wa refinery with local crude na regional market groves ziko off.
Ataisoma namba kama ilivyo jwa SGR.
wanavopenda sifa mbna hawachelewiWasubiri currency yao idepreciate mpaka 400ksh ili wagundue udogo wa uchumi wao.
🤣🤣🤣