Traveller D
JF-Expert Member
- Jul 11, 2025
- 1,884
- 4,997
Cheki details. 👇🏾 hakuna uwanja mzuri kuliko huu EA nzima
Sijawahi kuona empty port roads kama za Mombasa, yaani hakuna kabisa trucks, hivi mizigo huko inaondolewa kwa Bluetooth? Mombasa hakuna hata traffic jam 🚥🤣 Ndio maana bila kufake data Mombasa port ni kama bandari bubu yoyote Somalia
Zile namba za bandari yao zinafikirisha haswaa. 😂😂😂Sijawahi kuona empty port roads kama za Mombasa, yaani hakuna kabisa trucks, hivi mizigo huko inaondolewa kwa Bluetooth? Mombasa hakuna hata traffic jam 🚥🤣 Ndio maana bila kufake data Mombasa port ni kama bandari bubu yoyote Somalia
Lanes 8 na hakuna hata tricircles inakatiza for hours na ndio main entrance to and exit point from the main port gate 😅, single carriageway rough gravel road would be making a lot of economic senses for Mombasa port than this!
Hakuna namna refinery ni lazima ijengwe Tanga mtake msitake, anachokifanya Dangote ni kutumia siasa ili alegezewe kamba apate unafuu, kwamba kwenye makubaliano GoT ifanye vile anataka yeye, na ndiyo mana anamtumia cheap leader kama Ruto, kamuhonga vipesa ili ionekane anaweza pia akajenga mombasa lkn hakuna kitu kama icho. Dangote sio kichaa na anajua kama atajenga refinery mombasa atakula hasara ambayo itamyumbisha sn mana kama ataijenga Kenya ipo siku kuna refinery itajengwa Tanzania, so hawezi kuwa chizi kama wewe.
Makali ya bandari yao yapogo kwenye charts na magrafu uchwara tu 📉📊 😅 kwa ground imepooza kama graveyardZile namba za bandari yao zinafikirisha haswaa. 😂😂😂
Baboon bwana, sasa wapi details hapa?🤣🤣😂👇👇👇Cheki details. 👇🏾 hakuna uwanja mzuri kuliko huu EA nzima View attachment 3590611View attachment 3590607View attachment 3590608View attachment 3590609View attachment 3590610
hio nguvu yote uliotumia ungeenda kujifunza gdp ni nn na kwann bado mnakopa ilihali gdp kubwaHii nguvu yote,unatumia kuokota kota ma links kwa X kucheka wakenya wenye wako vizuri kiuchumi si you direct it kwa mama yenu afanye kazi..ona sasa mumeshuka mko number 12 ata hamko top 10..uganda itaja wapita kwa kasi...View attachment 3590572
EA is understatement, nchi zingine zote zinajenga uwanja mjini hawajui kutumia natureCheki details. 👇🏾 hakuna uwanja mzuri kuliko huu EA nzima View attachment 3590611View attachment 3590607View attachment 3590608View attachment 3590609View attachment 3590610
because hawana madeni makubwa, ila bei itashuka infact umeona prices za gas?Ila hapo TZ tunatia aibu,waondoe tozo hizo mafuta yashuke bei,mbona nchi zisizokua na bandari zimeweza!
Mmezoea inefficiency in your port Hadi mnadhani that's the norm everywhere.Sijawahi kuona empty port roads kama za Mombasa, yaani hakuna kabisa trucks, hivi mizigo huko inaondolewa kwa Bluetooth? Mombasa hakuna hata traffic jam 🚥🤣 Ndio maana bila kufake data Mombasa port ni kama bandari bubu yoyote Somalia
hujui chochote kuhusu uchumi just shut upBut Kenyan economy is better than any economy in East Africa. That's why you will never find a Kenyan in the street begging like Tanzanians.
Do you know the meaning of a bypass? Bypass is not a main road idiot.😂🤣Lanes 8 na hakuna hata tricircles inakatiza for hours na ndio main entrance to and exit point from the main port gate 😅, single carriageway rough gravel road would be making a lot of economic senses for Mombasa port than this!
No wonder your economy is out of top 10, wakati wengine wabasonga mbele nyinyi mnarudi nyumahujui chochote kuhusu uchumi just shut up
So Leo hii Watchman amekuwa spokesperson wa Dangote😂😂🤣😂Hakuna namna refinery ni lazima ijengwe Tanga mtake msitake, anachokifanya Dangote ni kutumia siasa ili alegezewe kamba apate unafuu, kwamba kwenye makubaliano GoT ifanye vile anataka yeye, na ndiyo mana anamtumia cheap leader kama Ruto, kamuhonga vipesa ili ionekane anaweza pia akajenga mombasa lkn hakuna kitu kama icho. Dangote sio kichaa na anajua kama atajenga refinery mombasa atakula hasara ambayo itamyumbisha sn mana kama ataijenga Kenya ipo siku kuna refinery itajengwa Tanzania, so hawezi kuwa chizi kama wewe.
Kaka hii kitu ni hatari kabisa, hata ulaya nchi nyingi walikosa akili kama hz aisee, Africa hii hakuna uwanja wenye design ya kipekee kama huu, viwanja vingi vya ki Africa ni masufuria kama ule wa Rwanda au kenya au Uganda.Cheki details. 👇🏾 hakuna uwanja mzuri kuliko huu EA nzima View attachment 3590611View attachment 3590607View attachment 3590608View attachment 3590609View attachment 3590610