stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 39,370
- 39,580
na ni mkataba wa 30 years, Kiuhalisia Dangote anatafuta tu sababu ya kukwepa ujenzi wa refinery baadae aseme viongozi walikua hawajaelewanaMafuta ni ya Uganda mwenye rights za kuuza sokoni ni Total na yeye ndio anajua mafuta anapeleka wapi Uganda analipwa na Total kwa kila barrel iliyoingia sokoni.