Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Feasibility study ndio itakayoamua refinery iwe wapi sio Kelele na pia ikumbukwe TOTAL nae anayo say kwa mafuta ya UG
Dangote ndio ataamua, maana Museveni yuko tayari kuuza sehemu ya crude kwa Dangote.

Kenya hana cha ku-offer. Ni mpiga kelele tu.

Hiyo refinery, inaweza kujengwa na Uganda, TZ na Dangote bila kuhusisha Kenya.

Baada ya Kenya kupoteza EACOP, na sisi tunayo na tuna LNG amepaniki.

South Sudan aliokuwa anawategemea na wao mafuta yao wanauza kupitia Sudan.

Kwasasa anapambana na yeye kujichomeka kwenye mradi kwa kununua hizo hisa za REFINERY.

Shida kubwa wakenya wengi ni VIAZI hawaelewi zaidi ya kukaza mafuvu, tu ila viongozi wao WAMEZIDIWA.
 
Sawa Dangote😂😂
Team of experts ndio itakayotoa jibu. Unafikiri dangote mjinga hakumbuki corruption iliyomkimbiza kujenfa ķiwanda cha cement kenya? Hapo kampa Ruto homework ya ku sort corruption kwanza na je can Ruto succeed in taming corruption in Kenya?
 
It will come in by ships, hio swali aliulizwa na alishajibu.
Je, iliyokuwepo ilikufa kwa sababu gani? Changamoto zilizoua iliyokuwepo mmezitatua? Hata huku Tanzania tulikuwa na Refinery Dar es salaam lakini ilikufa. Sasa hivi imebaki kuwa Storage
 
Mbona mnapiga kelele nyie kwa nyie tu wakenya? Mnajitekenya na kucheka wenyewe. Mmesikia wapi Tanzania inataka refinery toka kwa Dangote?
Wapi Tanzania imeongelea hiyo Refinery?
Yaani wanajitekenya na kucheka wenyewe. 😂😂😂
Wanalazimisha ionekane kama ni Tanzania ndo imeongelea ujenzi wa hiyo refinery.
 
Hakuna refinery itakayojengwa Mombasa Tanga is the only choice because kwanza kuna:
1. Landing site ya Ug oil and export terminal
2. Umeme wa kutosha
3. Ardhi ya kutosha na at low cost.
4. Pia in Tz kuna oil pipeline to Zambia can serve Malawi and DRC
5. No extra cost such as pipeline as in the case for Mombasa or shifting crude by ship from Tanga to Mombasa for refining.

All logistics favour Tanga
Hizi ni reasons zako wewe kama mlalahoi, Dangote ashapeane zake na hizo ndio zina matter the most.
 
Tumia akili feedstock ya hiyo refinery inatoka wapi?
Ushaambiwa hapo juu italetwa na meli. Secondly aren't you forgetting that Kenya is soon becoming an oil producing country? Are you also forgetting South Sudan which has the largest oil reserve in the region?
 
Dangote ndio ataamua, maana Museveni yuko tayari kuuza sehemu ya crude kwa Dangote.

Kenya hana cha ku-offer. Ni mpiga kelele tu.

Hiyo refinery, inaweza kujengwa na Uganda, TZ na Dangote bila kuhusisha Kenya.

Baada ya Kenya kupoteza EACOP, na sisi tunayo na tuna LNG amepaniki.

South Sudan aliokuwa anawategemea na wao mafuta yao wanauza kupitia Sudan.

Kwasasa anapambana na yeye kujichomeka kwenye mradi kwa kununua hizo hisa za REFINERY.

Shida kubwa wakenya wengi ni VIAZI hawaelewi zaidi ya kukaza mafuvu, tu ila viongozi wao WAMEZIDIWA.

Hizo ni kelele za madalali tu wala wasikusumbue. Yaani source ya mafuta ni meli kutoka Strait of Hormuz. Kelele tu ili kuharibu direction ya Uganda na Tanzania.
 
Team of experts ndio itakayotoa jibu. Unafikiri dangote mjinga hakumbuki corruption iliyomkimbiza kujenfa ķiwanda cha cement kenya? Hapo kampa Ruto homework ya ku sort corruption kwanza na je can Ruto succeed in taming corruption in Kenya?
Sawa advisor wa Dangote 😂😂🤣
 
Dangote ndio ataamua, maana Museveni yuko tayari kuuza sehemu ya crude kwa Dangote.

Kenya hana cha ku-offer. Ni mpiga kelele tu.

Hiyo refinery, inaweza kujengwa na Uganda, TZ na Dangote bila kuhusisha Kenya.

Baada ya Kenya kupoteza EACOP, na sisi tunayo na tuna LNG amepaniki.

South Sudan aliokuwa anawategemea na wao mafuta yao wanauza kupitia Sudan.

Kwasasa anapambana na yeye kujichomeka kwenye mradi kwa kununua hizo hisa za REFINERY.

Shida kubwa wakenya wengi ni VIAZI hawaelewi zaidi ya kukaza mafuvu, tu ila viongozi wao WAMEZIDIWA.
Anayeuza mafuta sio UG ni TOTAL ndio anajua anapeleka wapi soko lipi UG anayo say only kwenye surplus crude ambayo ndio itakuwa targeted kwa refinery fuatilia speech ya Museveni on this
 
Back
Top Bottom