Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

UG anajenga refinery yake Hoima pili ili refinery iwe profitable Dangote needs government commitment to ban fuel dumping in the market as he had done with Nigeria and he needs commitment of all EA governments on this. So UG will be fuel sufficient soon, and without Tz commitment that refinery will be dead on arrival.
Na Dangote anajua fika Tanzania ipo na ushawishi kwenye nchi karibia zote East Africa na pia ipo na Ushawishi SADC. Anahitaji sana commitment ya Tanzania (Kenya hawana Ushawishi hata kwa majirani zao Somalia, Ethiopia na South Sudan) But Tanzania ipo na Ushawishi mkubwa sana Somalia, Ethiopia na South Sudan.

Tanzania tumeshaishaijua janja janja ya Dangote.
 
Anayeuza mafuta sio UG ni TOTAL ndio anajua anapeleka wapi soko lipi UG anayo say only kwenye surplus crude ambayo ndio itakuwa targeted kwa refinery fuatilia speech ya Museveni on this
Ni sahihi, ila siyo kwamba kwenye mafuta Uganda hana share.

Mafuta yanamilikiwa na Total na Uganda
 
Dangote mwenyewe ashaamua ni Mombasa. So why are you using a lot of energy to change his decision?🤣🤣😂
Dangote needs a consensus in EAC to get the project, going.

He can't build anything, just to massage some people's ego.
 
Na Dangote anajua fika Tanzania ipo na ushawishi kwenye nchi karibia zote East Africa na pia ipo na Ushawishi SADC. Anahitaji sana commitment ya Tanzania (Kenya hawana Ushawishi hata kwa majirani zao Somalia, Ethiopia na South Sudan) But Tanzania ipo na Ushawishi mkubwa sana Somalia, Ethiopia na South Sudan.

Tanzania tumeshaishaijua janja janja ya Dangote.
No ukiangalia mwanzo wakati inatangazwa tulikua na kamjadala kuhusu direction ya Tanzania in energy, ile $42B project haiwezi kubaliwa if kutakua na oil refinery
 
Nadhani umesoma habari yote... Kuna mambo 3 anataka kabla ya kuamua kuwekeza msa..

Ni mchezo tu huo... Target yake bado ni Tanga na Sasa kaongeza msa ili apate room kubwa ya ku negotiate incentives zake
So wewe ni akili ya Dangote ndio ujue target take ni Tanga?😂😂🤣
 
UG anajenga refinery yake Hoima pili ili refinery iwe profitable Dangote needs government commitment to ban fuel dumping in the market as he had done with Nigeria and he needs commitment of all EA governments on this. So UG will be fuel sufficient soon, and without Tz commitment that refinery will be dead on arrival.
Dangote amesema very clearly, one of his reasons why he prefers Mombasa, ni ju Kenya has more oil consumption and has a bigger economy. Wewe punguza emotions, Dangote didn't mention bongoslum or Uganda anywhere.
 
Back
Top Bottom