Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yes TOTAL anayo refining Capacity yake elsewhere and huko ndio anapeleka crude oil ya UG. Only surplus oil will be available kwa refinery but with extra surplus from S.Sudan and DRC there will be enough feedstock for refining
Remember Total has no plan of refining UG oil. The same total is in Nigeria and Angola but they have never built any refinery there despite their huge oil reserve.

Just like I said, Total will always be happy to sell crude oil to their European counterparts, refine them there and resell the refined oil back to the crude owner😂😂🤣
 
Kaka watanzania wanaakili sana. Hizo Kelele wanazopiga ni udalali tu wa kumdalalia Dangote ili Tanzania iweze kupoteza mwelekeo iweze kumkaribisha Dangote na wakenya wapate pesa ya udalali. Hiz janja janja tunazijua.


Unadhani issue serious kama hiyo ya kujenga refinery Serikali ya Tanzania isijue uwekezaji wa Dangote mpaka Ruto atutonye!!?

1. Tanzania haijawahi kuliongelea suala hili la refinery nashangaa wao wao wakenya waseongea ongea.
2. Tanzania ipo na mipango thabiti, miradi ya kimkakati hatuwezi kushirikiana na wasaliti
3. Dangote akijenga hiyo refinery huko Kenya Source of energy atapata wapi ya kuendesha hiyo refinery? (Tanzania kuna Gas na Makaa ya mawe, kenya wapo na nini?)

Ni mtu mjinga pekee wa kuwachukulia serious wakenya. Kenya is alredy dead country sasa wanatapa tapa ili wapate public sympath
Binafsi nisichokitaka ushirikiano na kenya,ikiwezekana wao waendelee na dangote sisi tuendelee kivyetu
 
Him, being a businessman embodies that he can't build a refinery in Mombasa.


Kenya has nothing to offer.


In Tanzania, he will benefit with readymade infrastructures.
  • Free land
  • Tax incentives
  • Lower taxes
  • EAC, SADC markets
  • Crude oil Pipelines (owned by TZ-UG)
  • Port.
  • Cheap electric power (Coal, gas, Hydro)
  • Successful Experience working in Tanzania.

Dangote is not that STUPID.

View attachment 3586521
Ongezea existing oil pipeline Tazama a Tanzania Zambia pipeline that can serve Malawi, Zambia, DRC, Zimbabwe
 
Back
Top Bottom