Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ipi hiyo? Hawana hata mmoja! Umewapendelea sana.
mzee wa chattle unajifanya mtanzania hujui hata chato iliko hata matamshi pia huyajui😀😀😀😀

wewe ni mkenya dont pretend ur tanzanian
 
u get excited with trash..u dont have an airport,roads etc, the town itself looks like garissa...kenyans could oppose such crap
ilete garissa hapa uone kama itatoka humu😀😀
kwanza aliekwambia hakuna airport na roads nani?
unataka kuoneshwa au
 
mzee wa chattle unajifanya mtanzania hujui hata chato iliko hata matamshi pia huyajui😀😀😀😀

wewe ni mkenya dont pretend ur tanzanian
Watanzania wangapi wanaijua Chattle? Mi ndo kwanza nimekuja kuijua 2015! Ndo ujue how UNIMPORTANT it is.
 
mtz gani huyo kilaza hajui kutamka chato anaita chattle hajui hata chato iliko😀😀😀😱😱
Amejificha lakini tumemuonaeeeeeee, kama kweli ni mtanzania aendeleze hapo mbele kibwagizo cha Twanga pepeta
 
Watanzania wangapi wanaijua Chattle? Mi ndo kwanza nimekuja kuijua 2015! Ndo ujue how UNIMPORTANT it is.
hehehe chattle tena😀😀😀😀😀 hakuna sehemu tanzania inaitwa chattle hakuna, sehemu inaitwa chato pole sana bro😛😛😛😛😛
 
Watanzania wangapi wanaijua Chattle? Mi ndo kwanza nimekuja kuijua 2015! Ndo ujue how UNIMPORTANT it is.
Sasa kama umeijua tangu 2015, kwanini ushindwe kuiandika?, tangu lini African name likawa na two consonants zinazofuatana?
 
Amejificha lakini tumemuonaeeeeeee, kama kweli ni mtanzania aendeleze hapo mbele kibwagizo cha Twanga pepeta
mm nilimuona kitambo ila nilisubiri aingie kwenye mtego na kweli kaingia😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom