Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

6643001f332b0a4c41af56172b0640ae.jpg
b4aaea64df968ee46efe6256d66a90e8.jpg
 
this isn't the first time i hear news concerning same issues.

if i'm not mistaken,last year more than three buildings collapsed in kenya.

huwa najiuliza,hao wahandisi ujenzi wenyu huko vyuoni wanaenda kusomea ujinga?.

b56307b1ed230902fbf65bd9ae3c4043.jpg
 
Mwaka jana daraja lilidondoka hata kutumika ilikua bado...viongoz wa kenya wezii
 
this isn't the first time i hear news concerning same issues.

if i'm not mistaken,last year more than three buildings collapsed in kenya.

huwa najiuliza,hao wahandisi ujenzi wenyu huko vyuoni wanaenda kusomea ujinga?.

b56307b1ed230902fbf65bd9ae3c4043.jpg
Hiyo ujinga walisomea ndo walitumia kuwajengea ile TPA yenu mnaringa nayo hapa
 
Tanzania ni nchi iliobarikiwa sana...trust me, but the Tanzanians are letting their country down...huwa najiuliza mbona waimbaji wote wanapiga video zao ng'ambo....diamond na wana wake kama ishirini hivi wako kule SA wote kana kwamba ni wakimbizi....😀😀😀
Tukiweka kando ushabiki, unachosema kina kweli. Nilishangaa wakati ule Rais aliyepita aliposema hata yeye hajui kwa nini hali iko hivi!...
 
Niliishakwambia hao millionaire wengi mmoja ni mume wako au mpenzi wako???anakusaidiaje na utajiri wake.wapeni kazi ya kuondoa njaa hapo kenya.tuna more than two billionaires nyie hamna hata mmoja.na husikii tukipiga kelele.
Anaipa Kenya...kuwa mbele ya tz
 
Back
Top Bottom