Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawes survive bila KENYA ndio Maana wanajua kila kitu kutuhusu making us more famous juu ya search engine ya Google kuzoea Kenya this Kenya that.
Kwenu muhimu ni kuwa famous na sifa za kijinga, lakini mamba muhimu ya msingi kama njaa, slums, unemployment, tribalism, insecurity na corruption hamshughuliki navyo kwasababu is part of your daily life
 
Namba mtaendelea kuisoma bila shaka...LDC wakiingia lower middle Income nasi tunaingia upper middle income hakuna kuwa equals katika huu mchezo kwa kubwa aliyetangulia Hawes shikwa au kufikiwa.
 
Namba mtaendelea kuisoma bila shaka...LDC wakiingia lower middle Income nasi tunaingia upper middle income hakuna kuwa equals katika huu mchezo kwa kubwa aliyetangulia Hawes shikwa au kufikiwa.
Wala hatuna shida na sifa za kijinga, so long as hatuna njaa na mnatutegemea kwa chakula, bila sisi mnakufa kwa makundi, so long as we have the only bullet train in Afrika, no slums, low unemployment rates, low corruption, and high level of security and one united Nation, that is more than enough
 
Kwenu muhimu ni kuwa famous na sifa za kijinga, lakini mamba muhimu ya msingi kama njaa, slums, unemployment, tribalism, insecurity na corruption hamshughuliki navyo kwasababu is part of your daily life
Nimewatoa heshima yote hawa wajinga wakenya .....bt nashukuru mungu tz hatuwez kua nA maisha ka ya kenya ....yaan ka Rais wa awamu iliyopta angefanya mambo anayofanya magu now hawa maboya tungekua tushawashika makende ..all in all life bongo mkenya hagusi hata chembe tuwaachee na jina dc maana ndio linawapa kichwa wanajisahau wanalala safi sana..kenya is the best city in ea makofi kwa wakenya jamAn!!!!
 
Namba mtaendelea kuisoma bila shaka...LDC wakiingia lower middle Income nasi tunaingia upper middle income hakuna kuwa equals katika huu mchezo kwa kubwa aliyetangulia Hawes shikwa au kufikiwa.
Umeeona rate yenu ya economic growth inasoma percentage ngapi?????et hamwez fikiwa hahaH I love ur mentality sababu ndio itayofanya tuwapite na kuwaacha mkiendelea kuimba gdp,dc na ujinga wenu mwingne.
 
Sisi tujiiti DC..sorry tunable tambuliwa ivyo nyie kueni proud to be LDC....na correction.. KenyaTuna miji mengi ya biashara.c.moja
Mnatambulika kama miongoni mwa nchi zenye njaa mbaya africa,mkubali na hilo pia.
 
Sasa Wewe..ujielewi.zidi kunyamba nyamba .lkn ujue...Kenya excluding Nairobi.INA millionaire wengi kuishinda Tz....na ukiongezea Nairobi.. Hamwioni..kabisa 😎 😎 😎 😎 nyie zidini kukimbiza upepo
Niliishakwambia hao millionaire wengi mmoja ni mume wako au mpenzi wako???anakusaidiaje na utajiri wake.wapeni kazi ya kuondoa njaa hapo kenya.tuna more than two billionaires nyie hamna hata mmoja.na husikii tukipiga kelele.
 
Nimewatoa heshima yote hawa wajinga wakenya .....bt nashukuru mungu tz hatuwez kua nA maisha ka ya kenya ....yaan ka Rais wa awamu iliyopta angefanya mambo anayofanya magu now hawa maboya tungekua tushawashika makende ..all in all life bongo mkenya hagusi hata chembe tuwaachee na jina dc maana ndio linawapa kichwa wanajisahau wanalala safi sana..kenya is the best city in ea makofi kwa wakenya jamAn!!!!
we jamaa unapenda kulia lia sana...😀😀😀😀😀
 
bado LDC toka bongolala town wanakimbiza upepo
emoji23.png
emoji23.png
Kenya sio nchi ya kufananisha na ujinga priss
emoji23.png
emoji23.png
 
uhasama na chuki kati ya wakenya na wabongo iko juu kuliko nchi zingine za EA ila hatujawahi hata kuenda vitani.
emoji23.png
emoji23.png
..wanajeshi wa Kenya wamo Somali na Sudan...wanajeshi wa tz wamo DRC na Burundi...ila chuki nzito ipo kati ya wakenya na watz...heri tungekuwa na mzee Moi, anyoroshe hawa jamaa
 
Why don't we compare our respective rail when yours is complete.
For educated people, project is 85% complete after planning phase is over and fund has been released, these railways shall be declared complete when both of them reach to Malaba and Mwanza respectively, by now not single one is complete just at different levels of implementation.
 
Back
Top Bottom