Livale
JF-Expert Member
- Jun 12, 2016
- 739
- 588
I see you are reading your own script, good luck with that.Wakenya bado mna ndoto za pipeline? Your dreaming capacity is turbo
I see you are reading your own script, good luck with that.Wakenya bado mna ndoto za pipeline? Your dreaming capacity is turbo
kwan west gate waliingia wangapi???😀😀😀😀😀😀😀polisi kumi na magaidi 50.....kama ni wewe polisi unaweza pambana nao?
Mngeonesha mfano hapo Somalia kwanza.😀😀😀😀Tanzania tunawapa tu Kenya Police....tukiwapa KDF mnafunga virago na kuhama nchi yenu LDC na kufululiza moja kwa moja mpaka Mozambique😀😀😀
huyo mzee wenyu mwenye sura mbaya kama alishindwa kufanya hivyo wakati wa nyerere na mkapa ataweza wakati wa jpm?.smh.heri tungekuwa na mzee Moi, anyoroshe hawa jamaa
Lete data za kuanzia 2015, achana na hizo za zamani, kwa mfanoWewe jamaa Wa data za mkobani pia wakashifu data za watu
Ya kukunya vichakani na ya LDC ni za 2017 jamaa. Kwahivyo tuseme toka 2013 mpaka leo Tanzania ya vi-wonder imekwachua watu 44m toka uchochole sivyo?

debt ni 60% broLete data za kuanzia 2015, achana na hizo za zamani, kwa mfano
1)Wakenya Milioni 4 wakabiliwa na njaa(2017)
2)Kenya yaongoza Afrika kwa mauaji ya kiholela, polisi killings (2017)
3)Kenya yaongoza kwa ukabila EA(to date)
4)Population below poverty line 43%(2016)
5)Unemployment rate 48%{2017}
6)GDP growth rate 4.8%(2017)
7)National debts to GDP ratio 56%(2017)
8)Corruption position world wide No 3 (2016)
Huoni inavyopendeza, au namna gani wajameni![]()
![]()
![]()
![]()
Well kenya has a complete and operational phase. Complete your first phase and we can have a fruitful discussion.For educated people, project is 85% complete after planning phase is over and fund has been released, these railways shall be declared complete when both of them reach to Malaba and Mwanza respectively, by now not single one is complete just at different levels of implementation.
Kiberaa beibbbdebt ni 60% bro
below poverty line is 46%
umesahau slums 😀😀😀😀
kumbuka huo ni mji mdogo tu na anazoa hela ndefu namna hio.Diamond bags ksh.7m in Naivasha Platnumz
Lengo langu nataka mseme msanii gani wa kenya amewahi kulipwa kiasi hicho kwenye Mji kama huo.kumbuka huo ni mji mdogo tu na anazoa hela ndefu namna hio.
waarifie wenzako kwamba Kenya kuna pesa nyingi sana na sana tena sana
na mi nauliza ni msanii gani hapo bongolala yuaweza kulipwa Ksh. 1M ndani ya bongo?Lengo langu nataka mseme msanii gani wa kenya amewahi kulipwa kiasi hicho kwenye Mji kama huo.
Hahahahahahahaha au sio jirani ...kenya nyie noma mna hela hadi watu wanatupa na kuchambia asee nyie Dc mnatishaaakumbuka huo ni mji mdogo tu na anazoa hela ndefu namna hio.
waarifie wenzako kwamba Kenya kuna pesa nyingi sana na sana tena sana
Kwani unadhan mond tz show anafanya sh ngap??? Hahahahahahahana mi nauliza ni msanii gani hapo bongolala yuaweza kulipwa Ksh. 1M ndani ya bongo?
Sasa unataka kutuambia kwamba kati ya 2013 na 2017 mshawacha kukunya vichakani na kutumia nyasi kama tissue? Usitubebe ufala. Chimbeni vyoo ndo mkuje muongee na wanaume meza mojaWewe zilipendwa kweli, unatuletea data za 2013, hata kabla Alshaabab hawajaanza kuwachokonoa, lete dta za karibuni uone jinsi Tanzania ilivyowaacha kwa mbali, hizo unazoweka kiboko yenu Magufuli alikuwa bado anasoma primary school
Now between you and joto la jiwe who is saying the truth? Yeye data zake ametoa wapi na wewe zako umetoa wapi? Just shows how good you people are good at cooking figures to suit your argumentsdebt ni 60% bro
below poverty line is 46%
umesahau slums 😀😀😀😀