kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
ndio penyewe hapo comrade.I see! Pamekaa poa sana. Hapo siyo Hilltop Hotel? Napafananisha maana nilikaa hapo kwa wiki moja nilipokuwa Kigoma kikazi. Upande wa kushoto kuna magereza...
ndio penyewe hapo comrade.I see! Pamekaa poa sana. Hapo siyo Hilltop Hotel? Napafananisha maana nilikaa hapo kwa wiki moja nilipokuwa Kigoma kikazi. Upande wa kushoto kuna magereza...
hvi kadoda mbona unawaumiza sana wakenya
walisema sio bullet train sasa wajionee na huyo ni waziri wa ujenze tanzania anachagua mabehewa na vichwa vya train.... aisee wajameni
View attachment 667498
wachina ndio wametufkisha hapa wajameni, sasa tujiandae kulipa deni ama sivyo wajameni😀😀
View attachment 667502
View attachment 667504

Chagua lugha moja unayoongea ndo uandike hapa siyo hizi takataka zako unaandika hata hazieleweki bado uko nusrsery amaC.c na nyinyi nani washamba...yani rais we2 anasema Uhuru wa kuwekeza.kwa.EAC......nawaona.w.lalas kwa jf wanasema..ati....rais we2 ati..anataka ili apate.nafasi.yah kunyakua.shamba .kwa lalas ..iyo.c.n Coward's
...
asante kwa kukubali kua ni bullet train, asante sanaThe slowest bullet train on earth....only in tanzania (bongolalaland)
Alafu bro mtag huyu mswahili najua ako humu!Bombardier haijatua JNIA bado?
Mimi data zangu bado sijaziupdate, ndiyo sababu zipo chini, kifupi hali yenu inazidi kuwa mbayaNimekuuliza kati yako na mwenzako nani anasema ukweli. Wacha kuhepa swali mboga kama hii
Third class railway..haiwezi double stack
Kila siku mnalilia design na render sasa kama hujaziona umejuaje ni third class? You sound very bitter, so are you?!The fact remains its a third class railway
Hatuwezi kulinganisha vitu ambavyo ni tofauti, hii ni Electric, modern, high capacity, high speed, full automatic control and super luxury coaches, wakati yenu ni diesel, old model, low capacity slower, semi automatic control system, not luxury coach. Sasa hapo tutalinganisha nini?Well kenya has a complete and operational phase. Complete your first phase and we can have a fruitful discussion.
Itaisha 2 usiwe na pressureMmeshindwa fanya finishing ya lile gofu?