Bitter pill
JF-Expert Member
- Jun 10, 2017
- 917
- 782
Fahamu Kiwango Kipya Anacholipwa Diamond Kwa Show Moja ya Mziki Hapa Tanzania ~ UDAKU SPECIAL hiki ndio kiwango anacholipwa Diamond hapa TZ
uzuri wa wasanii wakibongo wanazunguka kuchukua pesa nchi zingine na kuleta nyumbani kuzitumia na kufanya maendeleo ndio maana wasanii wengi wakibongo wanamaendeleo kimziki na kimaisha tanzania na hawa ni baadhina mi nauliza ni msanii gani hapo bongolala yuaweza kulipwa Ksh. 1M ndani ya bongo?
wwe kila siku nikuletee same data😀😀😀😀😀😀😀Now between you and joto la jiwe who is saying the truth? Yeye data zake ametoa wapi na wewe zako umetoa wapi? Just shows how good you people are good at cooking figures to suit your arguments
Nimekuuliza kati yako na mwenzako nani anasema ukweli. Wacha kuhepa swali mboga kama hiiwwe kila siku nikuletee same data😀😀😀😀😀😀😀
Wakenya wataleta ya akotheee yule malaya wa kimataifaauzuri wa wasanii wakibongo wanazunguka kuchukua pesa nchi zingine na kuleta nyumbani kuzitumia na kufanya maendeleo ndio maana wasanii wengi wakibongo wanamaendeleo kimziki na kimaisha tanzania na hawa ni baadhi
nyumba ya msanii jux akimalizia ujenzi
![]()
![]()
msanii idris
![]()
![]()
ney wamitego
![]()
![]()
![]()
![]()
nyumba za msanii diamond platnumz
![]()
![]()
![]()
msanii matonya
![]()
nyumba za vijana wadogo kabisa yamoto band
![]()
msanii masanja
![]()
nyumba nyingine ya diamond platnums
![]()
![]()
nyumba ya msanii Hbaba
![]()
na hao nimempa wasanii wachache sana bado kina alikiba, wema sepetu, pro jay, sugu, mr blue etc wajo wengi sanWakenya wataleta ya akotheee yule malaya wa kimataifaa
Navy kenzo house lao lishaisha eehhh tz raha nyie hahahahahana hao nimempa wasanii wachache sana bado kina alikiba, wema sepetu, pro jay, sugu, mr blue etc wajo wengi san
basi baba,yatosha.uzuri wa wasanii wakibongo wanazunguka kuchukua pesa nchi zingine na kuleta nyumbani kuzitumia na kufanya maendeleo ndio maana wasanii wengi wakibongo wanamaendeleo kimziki na kimaisha tanzania na hawa ni baadhi
nyumba ya msanii jux akimalizia ujenzi
![]()
![]()
msanii idris
![]()
![]()
ney wamitego
![]()
![]()
![]()
![]()
nyumba za msanii diamond platnumz
![]()
![]()
![]()
msanii matonya
![]()
nyumba za vijana wadogo kabisa yamoto band
![]()
msanii masanja
![]()
nyumba nyingine ya diamond platnums
![]()
![]()
nyumba ya msanii Hbaba
![]()

Ngoja mazee ya wivu yaje na mapovuuthey wish a public figure like her would visit their country.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mi naona wakenya wa twitter wana akili afu nadhan ni watu na kazi zao ila wa hum ndan n masela flani jobless mapovu dailyy
bahati nzuri umiletea blog ya udaku hahahahaNay wa Mitego akiri Kufulia..Auza magari yake yote ‘Kwa Sasa Napanda Daladala’
Nay wa Mitego akiri Kufulia..Auza magari yake yote ‘Kwa Sasa Napanda Daladala’ - MCHAMBUZI HURU
Na we umeamini??? Upo kenya huko hujui hata y alisema hivyo mweeee sio kila unachosikia unaropoka ankoNay wa Mitego akiri Kufulia..Auza magari yake yote ‘Kwa Sasa Napanda Daladala’
Nay wa Mitego akiri Kufulia..Auza magari yake yote ‘Kwa Sasa Napanda Daladala’ - MCHAMBUZI HURU
Issue ya matonya huijui tena bora ukae kimya ...au jiulize saahiz yupo wapi???