mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,066
- 39,513
Na kazi ya kuondoa njaa wameshindwa!!!!Anaipa Kenya...kuwa mbele ya tz
Na kazi ya kuondoa njaa wameshindwa!!!!Anaipa Kenya...kuwa mbele ya tz
Wee.....at a tuwe na njaa ama 2na...nyie size yenu ni Uganda na Rwanda soo keep on chasing windNa kazi ya kuondoa njaa wameshindwa!!!!
Hujajiandaa kuikabili njaa bado?Bombardier haijatua JNIA bado?
I see! Pamekaa poa sana. Hapo siyo Hilltop Hotel? Napafananisha maana nilikaa hapo kwa wiki moja nilipokuwa Kigoma kikazi. Upande wa kushoto kuna magereza...kigoma,tanzania..what a view.![]()
![]()
![]()
Hatufukuzii mtu mzee,tunapambana kuweka maisha bora.Wee.....at a tuwe na njaa ama 2na...nyie size yenu ni Uganda na Rwanda soo keep on chasing wind
uchumi ulishakufa kilichobaki ni kupika data tuClosure of business n falling of production in kenya is clear that the economy is dying. Sugar production falls 45pc up to November
Nimeshàngaa sana kuona mahala flani kwamba KNBS is rated second worst in Africa,ndio maana hata GDP walipika.wakenya watu wa ajabu sana.uchumi ulishakufa kilichobaki ni kupika data tu
msikieni huyu mkenya hahah kajichanganya tayari😀Hiyo ujinga walisomea ndo walitumia kuwajengea ile TPA yenu mnaringa nayo hapa
wazoee bro kwa sisi tunaowajua hatupati shida😀😀Nimeshàngaa sana kuona mahala flani kwamba KNBS is rated second worst in Africa,ndio maana hata GDP walipika.wakenya watu wa ajabu sana.
hvi kadoda mbona unawaumiza sana wakenyareactions of some kenyans on twitter when they heard the latest news about our SGR.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Labda ka wanakuja kuangalia kwa mbali ila kama wanataka panda basi we mkenya karibisha mamilion unakua umeturahisishia kazFanya hivyo maana mtakufa njaa bila hivyo.
hvi kadoda mbona unawaumiza sana wakenya
walisema sio bullet train sasa wajionee na huyo ni waziri wa ujenze tanzania anachagua mabehewa na vichwa vya train.... aisee wajameni
View attachment 667498
wachina ndio wametufkisha hapa wajameni, sasa tujiandae kulipa deni ama sivyo wajameni😀😀
View attachment 667502
View attachment 667504
huu mchezo hautaki hasira.ni kukubari tu maisha yaendelee.hvi kadoda mbona unawaumiza sana wakenya
walisema sio bullet train sasa wajionee na huyo ni waziri wa ujenze tanzania anachagua mabehewa na vichwa vya train.... aisee wajameni
View attachment 667498
wachina ndio wametufkisha hapa wajameni, sasa tujiandae kulipa deni ama sivyo wajameni😀😀
View attachment 667502
View attachment 667504
wajamenihvi kadoda mbona unawaumiza sana wakenya
walisema sio bullet train sasa wajionee na huyo ni waziri wa ujenze tanzania anachagua mabehewa na vichwa vya train.... aisee wajameni
View attachment 667498
wachina ndio wametufkisha hapa wajameni, sasa tujiandae kulipa deni ama sivyo wajameni😀😀
View attachment 667502
View attachment 667504

Mmeshindwa fanya finishing ya lile gofu?