ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
hebu post ya 2018 nione daraja likoni 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Picha ya 2007 unapost hapa
hebu post ya 2018 nione daraja likoni 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Picha ya 2007 unapost hapa
Iyo bongolala AME loose hope akuje msaFrom Bongolala
Kenya watatuacha zaidi kwasababu TZ hatuna plan inayoeleweka. Kenya sasa wana sera rahisi sana wako open kwa wana EA kuhamia Kenya, kununua land na kufanya biashara. Kwa Kenya watu ni rasilimali na sio kitu cha kuogopa. Kenya diaspora wote wana haki zao zote za kikatiba na uraia na hii inasababisha uwekezaji mkubwa sana kwenye nyumba na apartments Kenya. Uwekezaji wa Kenya unasababisha serikali kuwwa na pesa kwenye vitu vingine. Kenya budget ni 100% ina garimiwa na Wakenya bila msaaada wowote. Kenya wana katiba mpya na mfumo wa county ambao ni wa kimarekani ambao unapeleka maendeleo zaidi chini na pesa inabaki zaidi kwenye kata na kusaidia zaidi walipa mkodi. Mradi wa train wa Kenya umekwisha. Pamoja na ukabila Wakenya wana furaha kuliko Watanzania. Watanzania tumekuwa tunarudi nyuma kila sehemu. Demokrasia tumerudi nyuma, uchumi tumerudi nyuma, master plan ya nchi haieleweki, uoga kwenye nchi, bank filisi, ardhi kushuka thamani,madeni ya nchi kuongezeka, hakuna uwekezaji binafsi mpya zaidi ya plan za zamani za mikopo. Uhuru wa habari unakufa, vyama vya siasa vina hujumiwa na kufa. Viongozi ni wasomi wasiojua kutenda hawana uzoefu wa utendaji. Tunapigana na rushwa wakati makama ya rushwa haina washitakiwa ..... na waliopo wachache ni wa kuchaguliwa. Kuna video za watu kutoa rushwa lakini hakuna action yeyote... polisi sasa ni chombo cha kisiasa. TRA ni chombo cha kutisha na kuua biashara. Bank ni sanamu hazitoe mikopo , hazina pesa...... Elimu bado hatuna plan wakati viwango vinaendelea kushuka. Tanzania hatuna hata statistics za kueleweka. Mfumo wa Afya unaotegemea msaada tu bila kubadilisshwa mfumo. Nchi ambayo viongozi wanajali siasa zaidi kuliko chi. Nchi ya wajuaji bila kuwa na la kuonyesha. Viongozi ambao wanajali habari kuliko ukweli na wananchi... viongoizi wasioweza kusemwa, kushauriwa au kubadilika......... I wish tungekuwa na viongozi wa Kenya maana sina imani tena... hata rushwa ni macho tu magari ya mchanga hayafanyi kazi mchana kwasababu ya rushwa kuzidi na kuchukua faida yote.....
Kwa ufupi Kenya ni open country na Tanzania ni closed country...
Eti kadoda anasema umepika dataAnother one from Tz...
Bidhaa za Kenya ni Bora na zinanunulika Tanzania. BLueband, Mafuta Fresh, Juices, Mafuta ya KCC, Siagi, Cofta, Hedex na nyingine kede kede
Embu Nenda Kenya kama utaona bidhaa za TZ supermarket za kenya?
Watz wanadanganywa na kauli mbiu ya Tanzania ya Viwanda...Wao Kenya ni Vitendo
Sera inayotekelezeka Tanzania ni kuuwa upinzani
Nao ViwaviJeshi kazi yao ni matusi, hawawezi kujenga hoja na kujibu hoja, wanatukana watu wanaokosoa serikali
kazi kaziAnother one from Tz...
Bidhaa za Kenya ni Bora na zinanunulika Tanzania. BLueband, Mafuta Fresh, Juices, Mafuta ya KCC, Siagi, Cofta, Hedex na nyingine kede kede
Embu Nenda Kenya kama utaona bidhaa za TZ supermarket za kenya?
Watz wanadanganywa na kauli mbiu ya Tanzania ya Viwanda...Wao Kenya ni Vitendo
Sera inayotekelezeka Tanzania ni kuuwa upinzani
Nao ViwaviJeshi kazi yao ni matusi, hawawezi kujenga hoja na kujibu hoja, wanatukana watu wanaokosoa serikali
Wakenya wako na freedom ,unaeza sema chochote sehemu yoyote,siyo kama hapo Bongo huruhusiwi kusema chochote ,media kwanza wanapangiwa cha kutangaza kwa news...kama tu Ethiopia.buda unadhani hiyo nayo ni big news?.
soma hizi recent tweets za baadhi ya wakenya uone ni namna gani mnalia kulalamika na kusaga meno kuhusu suala la ukosefu wa ajira.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
NB:
vilio vya wakenya kuhusu ukosefu wa ajira ni vingi sana.
sambaba na malalamiko yenyu mengine,mmejaza server ya twitter kwa kulalamika kuhusu ukosefu wa ajira.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mumekosa pic kabisa...tunataka za harmonize na iyo sura yake
imeshatoka canada najua inakuuma sana ila vumilia tuChooboy01 those are stale news of 2017. Bombardier haijatua JNIA ama inaletwa na meli?
Huwa wakati mwengine nikisoma comments zako ninacheka sana, hivi itawezekanaje nchi iwe inajitosheleza kwa kila kitu?, mbona barabara, reli, madaraja, tunajengewa na wachina?, mbona viwanda vingi hapo Kenya ni wageni?, mbona magari yote na hata huduma nyingi ktk sector ya utalii bado tunaagiza nje?, au kwasababu Kenya kuna KQ basi nchi isiyo na shirika lake ni useless, hujui kuna spcialization na kubadilishana bidhaa, ila haya maneno yako ninakuomba uyahifadhi hadi September 2018, Cris Kirubi ameshashauri kwamba hakuna faida kwa nchi zote za EA kila moja kuwa na shirika lake la ndege, bora kuwe na shirika moja tu.Tanzania ina vivutio vingi vya kitalii ila ndege zinazowasafirisha watalii hadi kweny hivi vivutio 95% ni ndege za nchi za ng'ambo kama vile Qatar Airways, Turkish Airlines, Ethiopia, British Airways na Kenya Airways...very useless....yaani nchi za ng'ambo zinabenefit kwa vivutio vyenu?
View attachment 666556
View attachment 666556
Eti kadoda anasema umepika data