ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
around maana yake iko karibu sana na figure yani must be 3.9 mpaka 4.1 hzo ni pesa bro, sio estimation za kuhesabu kuku au bata😀😀😀😀can be between $3.8 b to $4.2b.... but not exactly $4b usd....
hapo tumeelewana
kwenye pesa ukiskia around ujue iko karibu sana tena sana na figure husika
200m usd ni nyingi sana bro inanunua boeing 737 tatu mpya, kwenye pesa ukiskia around ujue iko very very near yani must be 3.95 mpaka 4.05
