mombasa254
JF-Expert Member
- Dec 2, 2017
- 1,026
- 215
Wewe....yani kibera ..n.self defence yenu bongolala....we...mtazidi kukibiza opepo...LDC nyieLast and only kicks,kuropoka hovyo.
Haikusaidii kuondoa njaa kwa mama yako kule kibela.
Wewe....yani kibera ..n.self defence yenu bongolala....we...mtazidi kukibiza opepo...LDC nyieLast and only kicks,kuropoka hovyo.
Haikusaidii kuondoa njaa kwa mama yako kule kibela.
Kibera,kibela yote ni slum maarufu duniani kutoka kenya.C...kibela..ni kibeRa ama kibra...soo acha kutaja mama yah m2 ..na in fact tz in LDC...kama ujui Google
Infact huwezi jiita dc uko na mtaa kama kibela,tena katika mji wenu wa biashara.kwa mwerevu hata hakutakiwa kushinda anajisifu humu.Wewe....yani kibera ..n.self defence yenu bongolala....we...mtazidi kukibiza opepo...LDC nyie
amekwambia usitaje mama yake. don't go too farKibera,kibela yote ni slum maarufu duniani kutoka kenya.
Ndio ufanye juhudi mama yako asizidiwe na njaa,hii kushinda unaorodheaha ldc na dc haitamkomboa.
I love it when my fellow country-men have freedom of speech. If you find time, pls screenshot Miguna Miguna's tweets or Uhuru Kenyatta's replies to his posts and bring them here too.2018 naliamsha dude kama hivi.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
KENYANS WHINING ABOUT THEIR GOVERNMENT, QUESTIONING AND REPORTING ANYTHING NEGATIVE HAPPENING WITHIN THEIR COUNTRY.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
NB:
this is just the beginning,i will be taking screenshots from all social media(fb and instagram).![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
povu ruksa.
Uhuru wa kulalamika ndio uhuru pekee ambao mwananchi yoyote kenya ana haki ya ku-practice.I love it when my fellow country-men have freedom of speech.
Sisi tujiiti DC..sorry tunable tambuliwa ivyo nyie kueni proud to be LDC....na correction.. KenyaTuna miji mengi ya biashara.c.mojaInfact huwezi jiita dc uko na mtaa kama kibela,tena katika mji wenu wa biashara.kwa mwerevu hata hakutakiwa kushinda anajisifu humu.
Tuachane na kibera,njaa ya kenya nayo???
Sasa Wewe..ujielewi.zidi kunyamba nyamba .lkn ujue...Kenya excluding Nairobi.INA millionaire wengi kuishinda Tz....na ukiongezea Nairobi.. Hamwioni..kabisa 😎 😎 😎 😎 nyie zidini kukimbiza upepoKibera,kibela yote ni slum maarufu duniani kutoka kenya.
Ndio ufanye juhudi mama yako asizidiwe na njaa,hii kushinda unaorodheaha ldc na dc haitamkomboa.
We zidi.....kuota 2...izo...ulipata.kwa.Kenyan Twit's... Na.most.. Huwa no jokes na utaniUhuru wa kulalamika ndio uhuru pekee ambao mwananchi yoyote kenya ana haki ya ku-practice.
ila sio uhuru wa kumiliki ardhi au mashamba makubwa,uhuru wa namna hiyo ni kwa ajiri ya wanasiasa wachache na marafiki zao.
sio uhuru wa kumiliki nyumba nairobi,uhuru wa namna hiyo ni kwa wakikuyu wachache tu nyinyi wengine ni wapangaji wao ambalo kila mwezi mnazidi kuwatajirisha kwa kulipa rent.
sio uhuru wa kupata rais toka nje ya makabila ya wakikuyu na wakenjin,mtafanya chaguzi kila mara,lakini lazima rais awe mkikuyu au mkalenjin.
Hata muwe na millionaire milioni moja, kama hawasaidii kupunguza njaa, kupunguza ukosefu wa ajira kwa vijana, kupunguza inadi ya wakenya masikini, wala kupunguza deni la taifa na kuwasaidia watu wanaoishi kwenye slums, mtabaki na sifa za kijinga wakati Tanzania inawaacha katika mambo mengi ya maendeleo.Sasa Wewe..ujielewi.zidi kunyamba nyamba .lkn ujue...Kenya excluding Nairobi.INA millionaire wengi kuishinda Tz....na ukiongezea Nairobi.. Hamwioni..kabisa 😎 😎 😎 😎 nyie zidini kukimbiza upepo
Wow! Bullet Train. From Dar to Morogoro.
tebu walalas munieleze kitu gani iko pale Morogoro cha maana....
A place with no strategic interest at all what-so-ever.
You can't compare Dar/Morogoro to Msa/Nairobi at all.
Unagrow wakati mnazidi poteza walipa kodi au hiyo kodi walokuwa wanalipa hao nakumatti wataongezewa hao unaowataja hapo ????kuwaga na akili mnapoteza kodi hao wanavyofilisika usibishe asee utaonekana huna akili sasa
Wewe sema unavyotaka, lakini mtabaki kuwa na watu masikini wengi, mtaendelea kufa kwa njaa, na mtaendelea kuishi kwenye mabanda ya nguruwe, na mtaendelea kuwa DC katika hali hiyo, kwenu muhimu ni sifa za kijinga.Sisi tujiiti DC..sorry tunable tambuliwa ivyo nyie kueni proud to be LDC....na correction.. KenyaTuna miji mengi ya biashara.c.moja
Kenyan Catholic priest who publicly denounced the killing of opposition demonstrators by Kenyatta's government found deadI love it when my fellow country-men have freedom of speech. If you find time, pls screenshot Miguna Miguna's tweets or Uhuru Kenyatta's replies to his posts and bring them here too.
Huku tumetangaza tenda ya kununua electric train, jumla ya pesa iitakayotumika ni sawa na pesa ya kununulia mahindi ya Kenya yote kwa mwaka mmoja, pesa hiyo tunalipa cash, hatukopi sisi, ninadhani unatujua vizuri siku hiziBongolalas good morning nasikia vyuma vimekaza manze hadi retrenchment zinatembea? Nomareeee.

We zidi.....kuota 2...izo...ulipata.kwa.Kenyan Twit's... Na.most.. Huwa no jokes na utani