Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hili povu sasa
pwahahahaha jibu swali bro...Tanzania ni nchi bora kabisa duniani sio?😀😀😀ilhali Lissu ako ICU, waimbaji wako SA kana kwamba ni wakimbizi...omba omba wamejaa Nairobi...kisha waniambia kuwa Tanzania maisha bora sio bro?😀😀😀
 
Si majiran watunzeni tuu hamna shida au mliposema wana ea kuja kwenu ruksa mlikua mnatania????
shida hatuna bro...siisi sio wakuchoma vifaranga wasio na hatia...tungetamani kuwafukuza tungekuwa tulishafanya hivyo jadi😀😀😀lazima tuwasaidie maskini wa kutoka nchi bora kabisa duniani😀😀😀
 
MOla amfariji...alafu vipi kuhusu albino bro? mlikoma kuwasaka kama wanyama?😀😀😀 Tanzania nchi bora zaidi duniani😱😀
Unajua imebid nicheke tuu..hebu jiran nijibu hili y namba ya wabaka mifugo kenya ni kubwa shda ni nn???swali la pil leo tupo wawili hapa kwa mda huu niambie chanzo cha ugomvi kati ya jaluos na kikuyus ilikuaje hadi mnaonana ka wanyama
 
siwez nikakujibu bro kuhusu hilo sababu sielewi nami kamwe...lakini la albino vip? mbona mnawadhulumu maskini wa Mungu bro?
 
Hiyo story ya mwaka gani ka kwel we mfatiliaji...albino hiyo story ya mwaka gan???
La pili so jaluos na kikuyus mnabeef hafu hata chanzo hakipo hahahahahaha jirani huon ka hilo ni ajabu kumchukia mtu bila sababu
 
uhasama na chuki kati ya wakenya na wabongo iko juu kuliko nchi zingine za EA ila hatujawahi hata kuenda vitani.
emoji23.png
emoji23.png
..wanajeshi wa Kenya wamo Somali na Sudan...wanajeshi wa tz wamo DRC na Burundi...ila chuki nzito ipo kati ya wakenya na watz...heri tungekuwa na mzee Moi, anyoroshe hawa jamaa
Msitake vita na Tanzania sababu mtauwawa kama nzi tutwachapa kutoka kona zote from Tanzania from Uganda

Why from Uganda? Sababu tuna strongly tied na Ugandan kutokana na pipeline yao sisi Tanzania tukiwaambia Uganda mafuta hayatoki ni kweli hayatoki sababu sisi ndio wenye koki tuamue tufunge tuamue tufungue wapate pesa.

From that point of view tunaweza kuwapeleka waganda popote tukako sababu zaidi ya 60% ya uchumi wao umeshikwa na Tanzania, tukiwaambia tunataka kupitisha vikosi vyetu vya kijeshi tuwachape wakenya watakataa?
 
Hiyo story ya mwaka gani ka kwel we mfatiliaji...albino hiyo story ya mwaka gan???
La pili so jaluos na kikuyus mnabeef hafu hata chanzo hakipo hahahahahaha jirani huon ka hilo ni ajabu kumchukia mtu bila sababu
hamna aliyesema kenya maisha ni bora...ila kuna mbongo alijaribu kusema kuwa maisha ya Bongo ni bora nikajikuna kichwa....hivi nieleze...maisha ya bongo ni bora kivipi?😀😀😀nieleze nielewe😀😀😀
 
Msitake vita na Tanzania sababu mtauwawa kama nzi tutwachapa kutoka kona zote from Tanzania from Uganda

Why from Uganda? Sababu tuna strongly tied na Ugandan kutokana na pipeline yao sisi Tanzania tukiwaambia Uganda mafuta hayatoki ni kweli hayatoki sababu sisi ndio wenye koki tuamue tufunge tuamue tufungue wapate pesa.

From that point of view tunaweza kuwapeleka waganda popote tukako sababu zaidi ya 60% ya uchumi wao umeshikwa na Tanzania, tukiwaambia tunataka kupitisha vikosi vyetu vya kijeshi tuwachape wakenya watakataa?
😀😀😀😀Tanzania tunawapa tu Kenya Police....tukiwapa KDF mnafunga virago na kuhama nchi yenu LDC na kufululiza moja kwa moja mpaka Mozambique😀😀😀
 
Nafikiri hapo umenielewa how united Tanzania and Uganda are.
 
Msitake vita na Tanzania sababu mtauwawa kama nzi tutwachapa kutoka kona zote from Tanzania from Uganda

Why from Uganda? Sababu tuna strongly tied na Ugandan kutokana na pipeline yao sisi Tanzania tukiwaambia Uganda mafuta hayatoki ni kweli hayatoki sababu sisi ndio wenye koki tuamue tufunge tuamue tufungue wapate pesa.

From that point of view tunaweza kuwapeleka waganda popote tukako sababu zaidi ya 60% ya uchumi wao umeshikwa na Tanzania, tukiwaambia tunataka kupitisha vikosi vyetu vya kijeshi tuwachape wakenya watakataa?
Watu twaongelea vitu Vilivyo in existence. Ngeli ya tu-ta apan Tambua. Wapi hio pipeline. Eti 60% of Uganda's economy is dependent on Tz? Don't confuse Burundi with Uganda Mr.
 
Vitu vilivyo in existence ni kama njaa, ukabila, insecurity, slums, tribalism and corruption
uliwacha kuweka %age siku hizi maana ilikuwa ukiulizwa uthibitishe hizo data umezitoa wapi... unaishia kukuna kichwa. sasa wimbo uliobaki ni njaa, corruption, slums, insecurity, tribalism...Repeat... njaa, corruption, slums, insecurity, tribalism...
 
Kenya hoyeeeeeeeeeeee
 
Ongeza kukunya vichakani
1447845069-976_Top-10-countries-without-access-to-improved-toilets-Number-of-people-chartbuilder.png

Uchochole
Tree-Map-of-Extreme-Poverty-distribution-750x525.png

Kua na nchi isojua maendeleo ni nini
aldc_LDCs_map_small.jpg
Wewe zilipendwa kweli, unatuletea data za 2013, hata kabla Alshaabab hawajaanza kuwachokonoa, lete dta za karibuni uone jinsi Tanzania ilivyowaacha kwa mbali, hizo unazoweka kiboko yenu Magufuli alikuwa bado anasoma primary school
 
Wewe jamaa Wa data za mkobani pia wakashifu data za watu

Ya kukunya vichakani na ya LDC ni za 2017 jamaa. Kwahivyo tuseme toka 2013 mpaka leo Tanzania ya vi-wonder imekwachua watu 44m toka uchochole sivyo?
 
Watu twaongelea vitu Vilivyo in existence. Ngeli ya tu-ta apan Tambua. Wapi hio pipeline. Eti 60% of Uganda's economy is dependent on Tz? Don't confuse Burundi with Uganda Mr.
Wakenya bado mna ndoto za pipeline? Your dreaming capacity is turbo
 
Back
Top Bottom