Livale
JF-Expert Member
- Jun 12, 2016
- 739
- 588
Key phrase, No police died
Key phrase, No police died
Hii sio Tazara. Kwanza hawana locomotive za rangi hiyo pili hawana mataluma ya chuma wao wanatumia zege, hii picha labda ni ya huko Congohii ndio Tazara ya 1970's>>>
View attachment 665462
karibu Kenya uje upande Sgr kwa mara yako ya kwanza. ntakulipia nauli
Tanzania IndexHii sio Tazara. Kwanza hawana locomotive za rangi hiyo pili hawana mataluma ya chuma wao wanatumia zege, hii picha labda ni ya huko Congo
Jamaaa ana I bishii
walikimbia wote kwenda kujificha😀😀😀
Kenya gari moshiKenya train
Maana halisi ya gari moshi is any train which produces smoke from engine. Hivi kwanini lakini katika karne hii ya sasa mliamua kujenga diesel engine train?, yaani sielewi hadi sasa.Kenya train
Ni lazima tu useme hivyo. Hiyo Iringa haifikii Kisii hata robo. Hiyo hata kwa Kitale ni ndogo sana. Chenye nimeona hapo ni kuwa iko na barabara pana, kitu ambayo kisii haina. Lakini kwa ukubwa na ujenzi, Kisii inaizidi mbali sanaHata miji kumi mikubwa tz haimo ni manispaa tu lakini unaweza zidi miji mingi ya kenya
Hakuna tofauti kati yenu na CongoHii sio Tazara. Kwanza hawana locomotive za rangi hiyo pili hawana mataluma ya chuma wao wanatumia zege, hii picha labda ni ya huko Congo
Sema tu umeumia ndugu. That's Kisii townUnajaza server na vitu vya kijinga
There is no SGR in Tanzania, only TAZARA, which is gari moshi built in 1970s, Kenya is Gari moshi version of SGR, how can a country decides to build Gari moshi during this time of high tech.?really though, how dare you compare
Kenya's Sgr
View attachment 666240
to Tanzania's Tazara
View attachment 666243
I don die ooo
View attachment 666248
kwan ya kwenu munaita gari chuma au???😀😀Gari ya moshi wanaita sgr
nairobi to mombasa gari moshi 4b usd aisee kweli mchina akae atambue MUNGU anamuona😀😀😀There is no SGR in Tanzania, only TAZARA, which is gari moshi built in 1970s, Kenya is Gari moshi version of SGR, how can a country decides to build Gari moshi during this time of high tech.?
hebu jaribu uone we iringa unaijua vzr wewe😀😀Ni lazima tu useme hivyo. Hiyo Iringa haifikii Kisii hata robo. Hiyo hata kwa Kitale ni ndogo sana. Chenye nimeona hapo ni kuwa iko na barabara pana, kitu ambayo kisii haina. Lakini kwa ukubwa na ujenzi, Kisii inaizidi mbali sana
Gari ya moshi wanaita sgr