Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hahahaha.... maoni yako ya reli hewa ndio unaita facts????? reli ya 3rd class na haina terminus??? hahaha.... sit down
ukweli unaujua kua inajengwa bro mm sikulazmishi uamini ila facts ndio hzo kukosea sio ujinga nikujifunza na ili usirudie tena 😀😀😀😀😀

yani ukiskia loss ambayo will take you 40 yrs ni hii Sgr mchina aliowajengea yani kawabamiza kweli kweli
 
chuki na hasira hazitakutoa kwenye slums sehemu hata nguruwe hawez kuishi😀😀😀😀😀

Tihahahhaaaaa.... Napenda vile unajikaza kuimpress yet you know you are the poorest country in the world..... Kelele za chura haitawanusuru
 
hahahaha.... maoni yako ya reli hewa ndio unaita facts????? reli ya 3rd class na haina terminus??? hahaha.... sit down
Terminus kwa magari moshi.hii ndio akili ya kenya inaishia kufikiri.

Dc yenye njaa na slums.

Barabara nzuri kajiji kenyewe njiwa.

Uchumi mkubwa mikopo mpaka ujenzi wa reli.
 
Poverty levels of 70%....Tihihihi..... Siku zote masikini ulalamika na kusema Tajiri amechukuwa mali yao.....
official link plz kabla sijakuletea below povert line😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom