Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,946
- 34,993
Tena at least mkunda kaonesha ujasiri wake,nakumbuka kipindi cha nyuma walikua wanatolewa kufanya usafi,sad siku ya 3 maria akawa anaingiza tena chaka vijana waingie mtaani wakauliwe,madogo wameuliwa kikatili mno,zile bullet sio za kupigia binadamu aisee 🥲🥲Hii kauli ya kusema Jeshi lipo na wananchi ndio imeponza vijana wengi kuumia na kupoteza maisha... Sijawahi kusikia Jeshi liko na wananchi na limebariki kilichokuwa kimepangwa... Ni kauli tu za wachache waliokuwa wamepanga na kuhamasisha yaliyotokea.
Jeshi halijasaliti, maana from the beginning halikuweka msimamo au mapatano ya kuwa na wananchi kwenye yaliyotokea. Kauli za watu ndio zilibebebwa kama msimamo wa Jeshi lote.