Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I think we should change this sub forum to Kenya and Goodwill Tanzanians vs Venus Chawa …😌
 
Thanks guys it's been long ride. Now nitakua msomaji tu. I am not even excited na battle kabisa, I don't see maendeleo kabisa more than wao kutumia rasmali zote kujilinda. My only hope ipo kwa hii sheria iliwekwa na the Late John Pombe Joseph Magufuli.

1. Natural Wealth and Resources (Permanent Sovereignty) Act (2017)

2. Natural Wealth and Resources Contracts (Review and Renegotiation of Unconscionable Terms) Act, 2017

Kwa kua now wameshinda na hawana legitimacy ya wananchi only way ya kuvutia mwekezajo ni kupitia unconscionable terms, na more power to dictate wanachopewa.

Na hizo sheria Kinda zinawanyima raha maana wakipinduliwa hakuna mwekezaji wa kushtaki sababu tayari the law are there

Poor Tanzania we had great future
1762261454151.jpeg

I can smell violence maana hawa vijana ukiwapatia silaha sio poa watu wamekereka na Jeshi kuwageuka.
 
amepata kura 31,000,000 bado unatuletea kelele kutoka Kibera Kwikwikwikwikwi Tanzania siyo Kenya mdogo wangu.
Acha ufala kaka kuna muda utumie akili sio makalio.
Asilimia zaidi ya 80 ya vituo vya kupiga Kura vilikua vyeupe,hao raia milioni 30 wametokea wapi!?
Ndugu zako wameuawa maelfu wewe unakuja kushangilia hapa!?
Kuwa na utu hata kidogo.
 
Ninavyoona, at the top of the food chain, ishu siyo uislam per see. Kuna baadhi wanaweza kufurahi kwa sababu ya upeo mdogo ila waislam walio wengi hawamtaki Samia na hawa mercinaries wanaoua hovyo, hawaulizi dini ya mtu wanapofyatua risasi, kama wanavyofanya alshabab.

Kikubwa hapa kinachoendelea ni kuondoa umoja wetu ili kukomba raslimali. Kwa mfano ukiangalia kwa Samia, yeye na watu wake wa karibu ndiyo wanaojineemesha na pia kuwapa wazanzibari favors (mf. kuwafutia deni la umeme).

Samia hajawafanyia waislam chochote cha maana kama jamii. Hakuna cha mahakama ya kadhi, sijui kuiondoa BAKWATA, hata kujenga vyuo vikuu vya kiislam hakuna, hakuwahi hata kuomba pesa za kujenga misikiti mikubwa kama Magu au Mwinyi alivyobadilisha sheria ya uvaaji uniform kwa wanafunzi.

Ukifuatilia kinachoendelea Ulaya kiuchumi, hasa baada ya kushindwa ku destabilize Urusi na jeuri ya wachina kuongezeka, unawezapata picha ya kiini cha haya mambo.
Huyu Jamaal nilifikia hatua ya kumpuuza maana ana udini sana.
Anashindwa kuelewa kuwa tatizo ni CCM sio dini.
Kama ni uislam Samia si angewaunga mkono wagombea waislam ikiwemo Sheikh Ponda Issa Ponda!?
Anashindwa kuelewa kuwa Emmanuel Nchimbi ni mkristo Na kuna wakristo kibao kwenye genge la Samia.
Huyo Samia kuna wanaomuendesha nyuma yake sio yeye peke yake.
 
Mnasemaga Mombasa port annual total port cargo volume ni more than 45 million of tones halafu whole month ni half a million as a top figure ever 😂😂😂 faking numbers with teaspoon brain yet hamna hata a quarter of trucks plying in Tanzania into it's landlinked countries
Port na SGR zinaingiliana wapi wee chingchong? Noi wonder hata wenzako wamekuchoka.................watu wanaomboleza wewe uko tu na vijibattle vya ujinga.
 
Thanks guys it's been long ride. Now nitakua msomaji tu. I am not even excited na battle kabisa, I don't see maendeleo kabisa more than wao kutumia rasmali zote kujilinda. My only hope ipo kwa hii sheria iliwekwa na the Late John Pombe Joseph Magufuli.

1. Natural Wealth and Resources (Permanent Sovereignty) Act (2017)

2. Natural Wealth and Resources Contracts (Review and Renegotiation of Unconscionable Terms) Act, 2017

Kwa kua now wameshinda na hawana legitimacy ya wananchi only way ya kuvutia mwekezajo ni kupitia unconscionable terms, na more power to dictate wanachopewa.

Na hizo sheria Kinda zinawanyima raha maana wakipinduliwa hakuna mwekezaji wa kushtaki sababu tayari the law are there

Poor Tanzania we had great future
View attachment 3497187

I can smell violence maana hawa vijana ukiwapatia silaha sio poa watu wamekereka na Jeshi kuwageuka.

Hii kauli ya kusema Jeshi lipo na wananchi ndio imeponza vijana wengi kuumia na kupoteza maisha... Sijawahi kusikia Jeshi liko na wananchi na limebariki kilichokuwa kimepangwa... Ni kauli tu za wachache waliokuwa wamepanga na kuhamasisha yaliyotokea.
Jeshi halijasaliti, maana from the beginning halikuweka msimamo au mapatano ya kuwa na wananchi kwenye yaliyotokea. Kauli za watu ndio zilibebebwa kama msimamo wa Jeshi lote.
 
Thanks guys it's been long ride. Now nitakua msomaji tu. I am not even excited na battle kabisa, I don't see maendeleo kabisa more than wao kutumia rasmali zote kujilinda. My only hope ipo kwa hii sheria iliwekwa na the Late John Pombe Joseph Magufuli.

1. Natural Wealth and Resources (Permanent Sovereignty) Act (2017)

2. Natural Wealth and Resources Contracts (Review and Renegotiation of Unconscionable Terms) Act, 2017

Kwa kua now wameshinda na hawana legitimacy ya wananchi only way ya kuvutia mwekezajo ni kupitia unconscionable terms, na more power to dictate wanachopewa.

Na hizo sheria Kinda zinawanyima raha maana wakipinduliwa hakuna mwekezaji wa kushtaki sababu tayari the law are there

Poor Tanzania we had great future
View attachment 3497187

I can smell violence maana hawa vijana ukiwapatia silaha sio poa watu wamekereka na Jeshi kuwageuka.
What makes you think they won't change the clauses protecting natural resources?
 
Mnasemaga Mombasa port annual total port cargo volume ni more than 45 million of tones halafu whole month ni half a million as a top figure ever 😂😂😂 faking numbers with teaspoon brain yet hamna hata a quarter of trucks plying in Tanzania into it's landlinked countries
You must be the most foolish Tanzanian in this platform apart from Venus Star.

That statement talks of SGR cargo handled and not the entire port performance. Yani wewe hata kwa mambo huwezikosa kuwa mpumbavu.
 
Ni aibu kuwa Mtz sasa hivi. Imagine mamia ya watoto wetu wameuawa kama mbwa koko lakini hakuna hata chombo kimoja cha habari kimeripoti. Na bado kuna mbwa anakuja humu JF Forum ashangilia kabisa. Sometimes tunajitahidi kushindana na Kenya ila moyoni tunajua we are worlds apart, Tz tuko nyuma sana yaani nyuma sana. Nimeumia sana.
Nchi imekuwa ya kisenge sn, siwezi kuishabikia nchi ya kimbwa kama hii, jwtz jeshi la wabeba sufuria na magogo wametulia tuu wakati waganda wanaua raia bila sababu.
 
Dont you feel ashamed arranging all these data and sending it to someone who has less data than you but more wealthier than you? i mean imagine telling a ugandans that kenya has millions but you only own 10 bob out of the millions? dont u feel ashamed?
You mean Tanzanians are wealthier than Kenyans or what exactly do you mean? I don't get your point
 
Mnasemaga Mombasa port annual total port cargo volume ni more than 45 million of tones halafu whole month ni half a million as a top figure ever 😂😂😂 faking numbers with teaspoon brain yet hamna hata a quarter of trucks plying in Tanzania into it's landlinked countries
Don't you understand that sgr and port of Mombasa are two different things?
 
Back
Top Bottom