Trinidad money
Member
- Apr 4, 2015
- 16
- 22
Wewe wazimu,so sad wewe ni wazimuTunaanzia tulipoishia. Tutasimama na Tanzania maisha yetu yote. Wenye roho nyepesi tayari wameshageuka kuwa waasi. Lakini mimi nimebaki kuwa imara 🤣 🤣 🤣
Mauaji yaliyopangwa na wale waliokuwa wanajaribu kufanya mapinduzi yalikwama. Sasa wale wote walikuwa wanachochea vurugu na kufanikisha vurugu tunawapeleka ICC. Na uzuri picha wanazituma wao kwenye mitandao kwa ujinga wao.
View attachment 3497689