Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

According to this guy, Kenyans are celebrating Tanzania's violence.🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️


View: https://youtu.be/B6qbKcerrdo?si=9Gn0DuzZ__cAQV00

Kuna watu sijui wana matatizo gani these days, like fyuzi zinafyatuka even if wana all datas.

Yes I was biased na wakenya, but binafsi naweza ona mlivyotusaidia even me nilikua nafatilia maandamano via vyombo vyenu. Why I trusted ni kuwa kuna clips zilikua shared na nyie eneo naishi kabisa same situation.

Hao wengine hawana haya damn.
 
The revolution planned by Mr. PAKA, with the support of four European countries during the elections in Tanzania using Kenyan media outlets and activists to tarnish Tanzania’s image failed

Either Kenyans are being used knowingly or unknowingly. The Kenyan media is being used to spread a plan planned for many years by Mr. PAKA. This guy tried to influence Uhuru and they formed COW with Museven, Tanzanian Intelligence explained the whole plan to Uhuru Kenyatta, COW died. This guy formed the M24 group to extract wealth from the DRC while Belgium and Germany helped him for the benefit of those countries.

Many Kenyans are blind, they are on the internet to create content to defame Tanzania while dancing to a dance they don’t know.

The Russian Intelligence Service told Tanzania (TISS) about the plan that the guy had planned for this year’s elections. Tanzania arrested Tundu Lissu and charged him with treason in order to expose the perpetrators of the plan.

The European Parliament passed a resolution so that Tanzania could release Tundu Lisu. The world saw who initiated the motion. Most of the MPs were from Germany.

Many Kenyans bark like dogs on social media. But Intelligence does not work in that way.

Germany is very hurt by the defeat in the second world war. The UK is on the side of Tanzania and they know all the tricks. The USA will not be able to interfere in anything that happened in Tanzania because they know those Germans and this guy from the landlocked. The USA forced them to sign a peace agreement with the DRC after being cornered by Tanzanian forces in Eastern Congo.

Your choice, Kenyans, is clear: either agree to side with Tanzania or cooperate with those who continue colonialism.
Look at this idiot damn.

Kwa hiyo Kagame ndio alipanga muanze kupitisha wagombea vilaza kina Baba levo ambao wanaonesha chama hakina jema kabisa?
 
Kaka sijaelewa hili suala limekujaje hapa. Uliuliza kwanini mtandao ulizimwa. Nikakuambia issue ya mtandao kuzimwa ni social question linajibiwa kijamii. But hapa tunaongelea issue ya kiusalama watu kuuliwa hilo ndilo suala la msingi.
Nimesema hivyo kwasababu mtandao unahusika sana katika mambo ya usalama zaidi ya social, kama mntandao unazimwa halafu kunatokea mauaji ya kutisha, wananchi inabidi wajue sababu hasa ya kuzima ilikuwa ni ipi?
Nimekuuliza kwanini wewe hutaki kuongelea Tishio la Captain Tesha?
Nitaongeleaje kitu nisichokijuwa, huyo capteni nilimuona kwenye mitandao. Kwa kuwa wewe unamuulizia sana, labda unafahamu zaidi, tuambie basi yeye ni nani?
Sasa kaka unataka vyombo vya kiusalama vianze kuchat kwenye social media kueleza kipi kilitokea kabla ya uchunguzi?
Haina haja ya kuongelea mambo ya usalama ila swali langu ni kutaka kujua uhalali wa kuua watu majumbani mwao hovyo, hao wamama na watoto, wanatishia usalama wa nani?
Nani amekuambia walikuwa wanapiga risasi wametoka nje? Kaka naomba usinilishe maneno, mimi nimekuomba kuwa ripoti bado haijatoka ikitoka tutajua mbivu na mbichi.
Kuna video, watu wako nyumbani, mwingine yuko workshop ya useremala anapigwa shaba, what was that?
Updates zipi kaka zitoke kwangu? Capten Tesha alikuwa ni mkufunzi wa Jeshi la anga ndicho ninachokijua mimi. Masuala ya kwamba yupo wapi na anafanya nini bado sijui. Captain anaweza akaongoza wanajeshi zaidi ya 150. Na watu 150 wanaweza kuingia kwenye mji na kufanya matukio ya kutisha.

So suala la kuhusu Tesha nimeliacha kwako ili uweze kuwaza zaidi.
Suala la tesha ni wewe ndiyo ulilileta, nikasema tuu kuna watu walimuulizia hapa majuzi ila nijibu, mimi sifahamu.

Maswali yangu ya uhalali wa kuua mpaka watoto wadogo bado nangojea majibu. Mara ya mwisho kusikia haya kutokea Afrika mashariki, ilikuwa Rwanda (1994), wao tunajua sababu, sisi je?
 
Nimesema hivyo kwasababu mtandao unahusika sana katika mambo ya usalama zaidi ya social, kama mntandao unazimwa halafu kunatokea mauaji ya kutisha, wananchi inabidi wajue sababu hasa ya kuzima ilikuwa ni ipi?

Nitaongeleaje kitu nisichokijuwa, huyo capteni nilimuona kwenye mitandao. Kwa kuwa wewe unamuulizia sana, labda unafahamu zaidi, tuambie basi yeye ni nani?

Haina haja ya kuongelea mambo ya usalama ila swali langu ni kutaka kujua uhalali wa kuua watu majumbani mwao hovyo, hao wamama na watoto, wanatishia usalama wa nani?

Kuna video, watu wako nyumbani, mwingine yuko workshop ya useremala anapigwa shaba, waht is that?

Suala la tesha ni wewe ndiyo ulilileta, nikasema tuu kuna watu walimuulizia nikasema mimi sijui.

Maswali yangu ya uhalali wa kuua mpaka watoto wadogo bado nangojea majibu.
I think Bro leave the idiots alone, imagine linaingia hapa day one bila masikitiko bali denial, delusional na liko simplified as if kilichotokea nchini hapa ni kitu cha kawaida, it's madness kufikiri hivyo.

Imagine jitu linaongea eti vyombo vya usalama while mpaka sasa wananchi hatuna imani navyo. Mijitu imekazana ni Raia wa nje statement ambayo inazidi fanya vyombo vya usalama vya ovyo.

Hilo jinga ni vacuous popinjay.

Jitu zima linalia kwikwikwi
 
1762436731200.png
 
Baba Levo kampiga chini Zitto - Kwikwikwikwikwikwi

Wapinzani wa CCM wanaumia sana. Walitamani kitokee walichopanga kimeshindikana. Kwikwikwikwikwikwi


1762437156311.png
 
I think Bro leave the idiots alone, imagine linaingia hapa day one bila masikitiko bali denial, delusional na liko simplified as if kilichotokea nchini hapa ni kitu cha kawaida, it's madness kufikiri hivyo.

Imagine jitu linaongea eti vyombo vya usalama while mpaka sasa wananchi hatuna imani navyo. Mijitu imekazana ni Raia wa nje statement ambayo inazidi fanya vyombo vya usalama vya ovyo.

Hilo jinga ni vacuous popinjay.

Jitu zima linalia kwikwikwi
Unajuwa Venus Star asichokielewa, nchi imetiwa doa kubwa sana, vijana sasa hawana ile roho ya woga, milio ya risasi haiwatishi tena.

Watu wanaujasiri wa ajabu, ambao zamani ni wazee wakazi tuu ndo walikuwa nao.

Sasa kuna mamilioni ya kundi la vijana wakawaida, walioona watu wakichinjwa, aisee mimi naogopa nchi yetu ilikofika.. Who ever came up with that idea is not intelligent enough.
 
Unajuwa Venus Star asichokielewa, nchi imetiwa doa kubwa sana, vijana sasa hawana ile roho ya woga, milio ya risasi haiwatishi tena.

Watu wanaujasiri wa ajabu, ambao zamani ni wazee wakazi tuu ndo walikuwa nao.

Sasa kuna mamilioni ya kundi la vijana wakawaida, walioona watu wakichinjwa, aisee mimi naogopa nchi yetu ilikofika.. Who ever came up with that idea was not intelligent enough.
Hayo ni mambo ya kwenye mitandao tu.
Mipango yote iliyopangwa imedhibitiwa, ninasisitiza kutumia emothions bila kufikiri ni kitu kibaya sana. Huwezi ukapambana na serikali ukabaki salama. Vyombo vya uchunguzi vinaendelea na kazi yake vikimaliza ripoti itatoka.

Huyu hapa mwamba ameleta ujumbe mzito toka Russia.

1762438646153.png


 
Johari alivyolichukulia lile jambo, kumuongelea Mange, amenishangaza sana. Nilimuona mtu wa maana alipokuwa boss wa anga kipindi cha Magu.

Msigwa na yeye hovyo, ni Dr. Abass tuu ndo bado amenyooka, humsikii akibweka kichawa.
Sisi tunaongelea mambo makubwa makubwa.
Mwamba huyu hapa kaka.

Biography of Sergei Vladilenovich Kiriyenko

Year / PeriodEvent / Position
1962Born on July 26 in Sukhum, Abkhaz Autonomous Soviet Socialist Republic.
1984Graduated from Gorky Institute of Water Transport (now Volga State Academy of Water Transport).
1984 – 1986Completed mandatory military service.
1986 – 1990Worked as Foreman, Deputy Secretary, and later Secretary of the All-Union Leninist Young Communist League Committee at Krasnoye Sormovo Shipyard.
1990 – 1992Served as Deputy in the Gorky Regional Council of People’s Deputies.
1992 – 1993Appointed General Director, AMK Youth Concern.
1993Graduated from the Academy of National Economy under the Government of the Russian Federation.
1993 – 1996Served as CEO, Garantiya Bank.
1996 – 1997President, NorSea Oil Company.
1997Appointed First Deputy Minister of Fuel and Energy of the Russian Federation.
1997Promoted to Minister of Fuel and Energy of the Russian Federation.
1998Appointed Prime Minister of the Russian Federation.
1998Became Leader of Novaya Sila (New Force), an all-Russian social and political movement.
1999Co-Chair and Leader, Union of Right Forces electoral bloc.
2000Leader, Union of Right Forces Party Faction in the Russian State Duma.
2000 – 2005Presidential Plenipotentiary Envoy to the Volga Federal District; Permanent Member of the Security Council of the Russian Federation.
2001 – 2005Chair, State Commission on Chemical Disarmament.
2005 – 2007Head, Federal Agency for Atomic Energy.
2007 – 2016General Director, Rosatom State Atomic Energy Corporation.
Since October 5, 2016First Deputy Chief of Staff of the Presidential Executive Office.
Since 2005Co-Chair, Russian Union of Martial Arts; President, National Aikido Council of Russia.
Since 2012Executive Director, Coordinating Committee to Support Social, Educational, Cultural, and Other Initiatives under the Russian Orthodox Church.
Personal InterestsPractices martial arts (holder of 4th dan in Aikido), action shooting, sport hunting, and fishing.
 
Hayo ni mambo ya kwenye mitandao tu.
Mipango yote iliyopangwa imedhibitiwa, ninasisitiza kutumia emothions bila kufikiri ni kitu kibaya sana. Huwezi ukapambana na serikali ukabaki salama. Vyombo vya uchunguzi vinaendelea na kazi yake vikimaliza ripoti itatoka.

Huyu hapa mwamba ameleta ujumbe mzito toka Russia.

View attachment 3498203

Mimi ishu yangu ni kuua watoto na wamama.

Kama kulikuwa na kikundi cha kihalifu kutoka nje, kutokana na intelijesia ya Urusi, hawa watoto nao walihusika?

Umenielewa lakini?
 
MPAKA WA TANZANIA NA KENYA NI SALAMA- RC MAKALLA - Aridhishwa na usalama na ufanyaji biashara eneo la Namanga

Aeleza umuhimu wa Mpaka huo kibiashara na ustawi wa Jamii

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. CPA Amos Gabriel Makalla ameeleza kuridhishwa na hali ya ulinzi na usalama katika Mpaka wa Namanga unaounganisha Mataifa ya Tanzania na Kenya kupitia Mkoa wa Arusha, akiwashukuru watendaji wa Pande zote mbili wanaofanya kazi kwenye Kituo cha pamoja cha forodha Namanga kwa kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi wa pande zote.

Mhe. Makalla amebainisha hayo leo Alhamisi Novemba 06, 2025 Mjini Namanga wakati alipoambatana na Kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa kwaajili ya kukagua hali ya Ulinzi na usalama katika eneo hilo pamoja na kuangazia ufanyaji wa biashara katika eneo hilo mara baada ya maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kutaka shughuli zote za Kijamii na kiuchumi kuendelea katika maeneo mbalimbali nchini mara baada ya uchaguzi Mkuu.

"Nithibitishe kuwa Mpaka wa Tanzania na Kenya ni salama na kituo cha pamoja cha forodha Namanga kipo salama. Kituo hiki ni muhimu kwa nchi zetu zote mbili na kwa wananchi hususani hawa wa Mpakani kwani wao pia ni wanufaika wa moja kwa moja na fursa za kiuchumi na biashara kwahiyo ni muhimu kuendelea kueneza amani, umoja na mshikamano kwenye mpaka huu kwani sote ni wanufaika." Amesema Mhe. Makalla.

CPA Makalla kadhalika amewapongeza Viongozi na watendaji wa kituo hicho cha forodha ka kuendelea kuimarisha mahusiano na kukuza biashara katika eneo hilo suala ambalo limekifanya Kituo hicho pia kuwa eneo muhimu la mabadilishano ya bidhaa kati ya Tanzania na Kenya, akisema kutetereka kwa Mpaka huo kuna athari kubwa kwa uchumi wa nchi hizo na ustawi wa jamii.

Kwa Upande wake Meneja wa Mamlaka ya Mapato nchini Kenya (KRA) kwenye Kituo hicho cha Namanga Bw. Nicholous Mugambi amemuhakikishia CPA Makalla kuwa wataendelea kushirikiana na Mamlaka za Tanzania katika kukuza mahusiano na biashara miongoni mwa nchi hizo mbili, akisisitiza umuhimu wa amani kama msingi wa kufikia mafanikio katika biashara na ustawi wa wananchi wa Tanzania na Kenya.

1762439871240.png


1762439902174.png


1762439936695.png
 
Unajuwa Venus Star asichokielewa, nchi imetiwa doa kubwa sana, vijana sasa hawana ile roho ya woga, milio ya risasi haiwatishi tena.

Watu wanaujasiri wa ajabu, ambao zamani ni wazee wakazi tuu ndo walikuwa nao.

Sasa kuna mamilioni ya kundi la vijana wakawaida, walioona watu wakichinjwa, aisee mimi naogopa nchi yetu ilikofika.. Who ever came up with that idea was not intelligent enough.
The guy wanaona kila kitu simple wajinga, vitu vipo more complex kuliko upeo wao.

Yaani wamekalia mipasho
 
Mimi ishu yangu ni kuua watoto na wamama.

Kama kulikuwa na kikundi cha kihalifu kutoka nje, kutokana na intelijesia ya Urusi, hawa watoto nao walihusika?

Umenielewa lakini?
Kaka unaposema kuua unamjua aliyeua? Unashiriki kueneza chuki baina ya watanzania bila hata sababu.

Nimejaribu kukueleza kuwa uchunguzi unaendelea kupitia vyombo vya ndani na nje. Lakini umechagua kupuuza. Sina namna ya kukueleza tena kaka. You are too emotional.
 
Back
Top Bottom