President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,634
- 94,249
Kaka ndio maana tupo kwenye uchunguzi na ripoti zitatolewa. Lakini za chini ya kapeti nasikia kulikuwa na kundi kubwa lilipata mafunzo somewhere waliua na kutesa watu. Waliingia na boda boda. Ukiangalia risasi zilizokuwa zinatumika ni za kuulia tembo.Mambo ya Kagame na HIMA empire tunayafahamu, swali kuu ni sababu ipi ilifanya watu waliojikalia makwao bila hata ya kuandamana kuuliwa kwa risasi za moto?
Tafakari kwanza kabla ya kutumia hisia