Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania Oyee KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE.

1762443409634.png

1762443435375.png

1762443448893.png

1762443460686.png
 
Yani kuhusu Samia hata bila kufanya mauaji, mi bado naona utendaji kazi wa serikali yake ni mdogo sana. Naona nchi yetu inaendelea taratibu mno ndo maana namuuliza huyu Venus Star anitajie mega projects mpya za Samia maana sidhani kama zipo, sijawahi hata kusikia. Ila sijui ngoja tuone hii miaka 5 kama kuna kitu kikubwa atafanya 🙂
 
Kaka mnyonge mnyongeni haki yake mpatie. Uungwana ni kitu cha bure.

1. Hivi BRT Phase II, Phase III and Phase iV
2. Ujenzi wa SGR From Makutopora - Tabora
3. Ujenzi wa SGR from Tabora - Kigoma
4. Ujenzi wa SGR toka Uvinza - Musongati Burundi
5. Kuimarisha Bank ya Kilimo (TADB) - Ugomvi uliopo kwa sasa ni CRDB na TADB maana miradi ya kilimo kwa sasa inashughulikiwa na TADB hao CRDB walikuwa wanachukua pesa na hazifiki kwa wakulima.

Nakuwekea watu waliowezeshwa na TADB tangu Samia aingie madarakani

1762444436219.png

1762444457983.png
1762444497969.png

Naendelea kuhusu TADB....
 
Yani kuhusu Samia hata bila kufanya mauaji, mi bado naona utendaji kazi wa serikali yake ni mdogo sana. Naona nchi yetu inaendelea taratibu mno ndo maana namuuliza huyu Venus Star anitajie mega projects mpya za Samia maana sidhani kama zipo, sijawahi hata kusikia. Ila sijui ngoja tuone hii miaka 5 kama kuna kitu kikubwa atafanya 🙂
Naendelea kuhusu TADB - Wakati vijana wengi wanashinda kwenye mitandao kusikiliza ubuyu wa Mange. Watu wapo kazini. Huu wivu na maendeleo yanawafanya watu waumie, Wanatamani wao ndio wafanye haya

1762444584884.png

1762444612482.png

1762444696191.png

1762444732296.png

1762444769769.png
 
Yani kuhusu Samia hata bila kufanya mauaji, mi bado naona utendaji kazi wa serikali yake ni mdogo sana. Naona nchi yetu inaendelea taratibu mno ndo maana namuuliza huyu Venus Star anitajie mega projects mpya za Samia maana sidhani kama zipo, sijawahi hata kusikia. Ila sijui ngoja tuone hii miaka 5 kama kuna kitu kikubwa atafanya 🙂
Niendelee kwenye Afya?
 
Wewe unauliza miradi watu wana kampeni ya kazi na UTU. Imagine na huo UTU haupo kabisa
 
Hii hapa inawaumiza sana wapinzani wetu. Wakiona mwanamke amefanikiwa na mfumo wao dume wanavimba kama kifutu. Wapinzani wetu wanaona Tanzania inaenda kuwa na uchumi mkubwa mno na kuwa Center of Food in Afrika.

Kaka mnyonge mnyongeni haki yake mpatie. Uungwana ni kitu cha bure.

1. Hivi BRT Phase II, Phase III and Phase iV
2. Ujenzi wa SGR From Makutopora - Tabora
3. Ujenzi wa SGR from Tabora - Kigoma
4. Ujenzi wa SGR toka Uvinza - Musongati Burundi
5. Kuimarisha Bank ya Kilimo (TADB) - Ugomvi uliopo kwa sasa ni CRDB na TADB maana miradi ya kilimo kwa sasa inashughulikiwa na TADB hao CRDB walikuwa wanachukua pesa na hazifiki kwa wakulima.

Nakuwekea watu waliowezeshwa na TADB tangu Samia aingie madarakani

View attachment 3498251

View attachment 3498252View attachment 3498253

Naendelea kuhusu TADB....
I mean hii miradi ilishaanzishwa sasahivi inaendelezwa, hivi vinapaswa viendelee huku miradi mipya inazidi kuongezwa, si kila siku tunaambiwa uchumi wetu unakua kwa kasi

Just imagine uanzilishi wa Megaprojects kama
1. Mradi wa SGR
2. Mwalimu Nyerere HEP Project
3. Ujenzi wa mji wa kiserikali Dodoma
4. Ujenzi wa Flyovers Tanzania
5. BRT
6. Madaraja makubwa Dar na Mwanza

Hizi zilikuwa project chache lakini ni kubwa sana ukifananisha na project za sasahivi na zilianzishwa ndani ya awamu ya 5 pekee lakini uanzilishi wa project hizi ulikuwa unaenda sambamba na project nyingine za kati mfano bus stations kubwa kila kona ya Tanzania, ujenzi wa modern hospital kubwa ya Mloganzila, hospitali mbili mbili kila wilaya, usambazaji umeme kwa kasi vijijini, maeneo mengi yalijengeka kipindi hiki, mtandao mkubwa wa lami, upanuzi wa Airport ya Mwl Nyerere, shule za kutosha. Yani kipindi hicho hadi ofisini watu walikuwa wanapiga kazi kuhofia kutumbuliwa. Rushwa ilipungua sana. Na kumbuka Magufuli hakutuwekea tozo za ajabu ajabu, na bado tukaingia uchumi wa kati

Sasa hii awamu ya 6 si tunaambiwa uchymi wetu ni mkubwa zaidi na unakua kwa kasi, pia kipindi hiki cha tozo, na ukizingatia tunakopa sana kwa hiyo hela zipo nyingi zaidi kipindi hiki. Niwe tu mkweli nilitarajia tuwe na even more projects kushinda enzi za Magufuli kwa sababu sasahivi hela ipo ya kutosha. Lakini karibia kila mradi sikuhizi naona ni hiihii ya level ya kati ambayo hata enzi za Magufuli ilikuwepo tena mingi zaidi. Ila zile strong hakuna
 
Back
Top Bottom