Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,053
- 33,291
Hata Watchman na Yule baboonman wamenyamaza of late. Ama baboon alikuwa kidnapped?😂😂BTW, Since uchakuguzi wa Vumbistan ukaribia wamekuwa quiet sana humu. Huwa wanasema uchaguzi wetu una tension ila huu wao umezidi. Ni kama wamerealize hizo chocha zao ni hot air na wako disappointed sana na jinsi nchi inavyoenda. Naona kama hawajiamini kivile. Wanaopost humu ni newbies watupu. Wale magwiji wamepotea. What's happening Geza Ulole instanbul Chamoto et al?
Huwa wanasema wakenya watachinjana time ya uchaguzi, ni hao ndio wanachinjana this time round.