Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

These people are jokers yaani utoke kwenye EMU uende kujifunza kuchafuka na oil na moshi ukiendesha gari moshi? wonders shall never cease to exist.
Jokers with a very safe and reliable train. Jokers ni nyinyi, less than one year the train has malfunctioned tens of times hadi ikapata ajali. The most unreliable train in the world. Yani in less than one year we have seen it all, sasa ndani ya miaka tano je. 🤣 🤣 🤣
 
Daily Dose

1761224623759-jpeg.10162872
 
Wakenya wamefurahi sana baada ya kuona ajari ya SGR. Ufuatiliaji unaendelea ipo sabotage kubwa sana kutoka kwa owners wa Magari ya mizigo na Mabasi.

Hii vita baada ya uchaguzi tunaruka nayo. Uchaguzi ni next week Jumatano.

Ambao hamjaichafua Tanzania muda wenu umebaki wa siku sita tu.
 
Jokers with a very safe and reliable train. Jokers ni nyinyi, less than one year the train has malfunctioned tens of times hadi ikapata ajali. The most unreliable train in the world. Yani in less than one year we have seen it all, sasa ndani ya miaka tano je. 🤣 🤣 🤣
Hiyo garimoshi yenu speed ya konokono itaangukaje?
 
Physics gani na wewe ni primary school dropout, train inaanguka kwa station wewe unatuambia ni speed. Enyewe fala ni fala tu, hivi hujui hata train yenye inaenda kwa speed ya 40kph can derail. Rudi shule utoe ujinga.

Wewe acha ufala... Treni ile ni EMU...ni express...haisimami vituo vya njiani....pale Ruvu haikuwa inasimama ile ni hitilafu labda upande wa signalling....sio ubovu wa Gari... Ni ishu ya njia na miundombinu yake.

Treni ni full automatic, pale ni kwenye points... So ni kawaida ajali nyingi za treni za Umeme huwa zinatokea vituoni... Kwa sababu hapo ndio umakini unatakiwa uwepo kwa kiwango Cha juu. Ripoti ikitoka wazi for public tunaweza Pata habari labda ni ishu ya negligence in safety protocols on points...

Sasa nyie kenge wa North haya mambo ya electric trains hamuwezi kuelewa... Bakini mkipiga kelele tu za chuki na wivuu.... Kudos kwa CXR ... safari zimerejea just in few hours...
 
Aina ya upinzani wa kisiasa tulionao Tanzania ni wa hovyo mno na muhimu kudhibitiwa.

Mradi umekuwa sabotaged mara kwa mara.
Kwamba hao wapinzani walioko jela kwa uonevu na waliokufa ndio wameleta ajali??

Muogopeni hata shetani basi, maana hakuna mtu mwenye Mungu akawa na fikra hizi.
 
Physics gani na wewe ni primary school dropout, train inaanguka kwa station wewe unatuambia ni speed. Enyewe fala ni fala tu, hivi hujui hata train yenye inaenda kwa speed ya 40kph can derail. Rudi shule utoe ujinga.
I thought that dude posted his credentials here before as an Engineer … 😁😁
 
Back
Top Bottom