Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dona kantri😂😂😂

1000095450.jpg
 
👏👏updates on the Mombasa-kwajomvu-Mariakani duel carriageway, a total of 40+kms starting from Makupa mpaka Mariakani weigh bridge mwisho ...utaskia mkinjekitile akilia na kulalamika kwa uchungu "kenya maendeleo ipo nairobi tu" nyef, nyef,nyef😂😂😂😂😂🙌
Screenshot_20251024_124519_YouTube.jpg
Screenshot_20251024_123329_YouTube.jpg
Screenshot_20251024_123516_YouTube.jpg
Screenshot_20251024_123401_YouTube.jpg
Screenshot_20251024_123232_YouTube.jpg
 
Hakuna raha kama kuishi Dar es Salaam: hakuna!
 
Hii unafaa ujibu mwenzako mwenye ameshinda akituambia train ilianguka ju ya speed.

Nikikuuliza kama hata ulishapanda treni ya Umeme nitakuwa nakuonea....au tuseme ulishawahi kuona EMU kwa ukaribu hata 100m? Au wewe mambo haya unayaonaga tu kwa TV!?
 
kwahiyo train ilisukumwa na kitu gani ikatoka kwenye reli? niambie wewe msomi 😁
Yeah sure, and gravity prevented it from flying into space after the accident caused by centrifugal force. 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom