Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lakini kwa ground kunyani dwellers wataendelea kufa kwa njaa na umasikini na wengine kuuzwa gulf na madalali wa watumwa wanaowaita maagent
Kwa hivyo huko bongoslum hamkufi na umaskini? Kama huwezi changia hoja kama mtu amesoma ni heri unyamaze.
 
Kwa hivyo huko bongoslum hamkufi na umaskini? Kama huwezi changia hoja kama mtu amesoma ni heri unyamaze.
Leta ushahidi ila ushahidi wa kenya ikiomba na kupokea misaada ya hada na nchi zilizopo jagwani nafikiri itakuwa nchi ya kwanza kuwa upper middle income huku mamilion ya wananchi wakiwa hawezi afford chakula na wengine wakiwa wamekata tamaa
 
8 yrs of operation of Kenyan SGR yet haijawaianguka, Tanzanian SGR is failing in less than a year of operation 😂😂

View attachment 3492238
Usifananishe high speed train na nginjanginja
1761212540588.png

1761212578347.png

ajali nyingi za treni za abiria duniani ni treni mchongoko high speed trains sio yale ya kuvutwa na Loco
 
Unafurahia ajali?
wewe huwezi elewa kitu hapo hizi ni high speed trains glitch ndogo tuu hutoka nje ya reli sio kama nginjanginja na speed ya konokono.
That train ilianguka in a place that is not for a speed of even 20km/hr and that's why there is a minimal damage with no casualty.

Nyinyi enedeleeni kusifu refurbished trains😂😂😂
 
Usifananishe high speed train na nginjanginja
View attachment 3492277
View attachment 3492278
ajali nyingi za treni za abiria duniani ni treni mchongoko high speed trains sio yale ya kuvutwa na Loco

This is a HSR (High Speed Rail), unacompare apples to tomatoes, bongoslum hamna HSR. Primary school dropout itabidii umerudi shule. Na hakuna train haiwezi pata ajali, kwa hivyo kutuambia hapa eti ajali hua za train zina speed pekee yake huo ni ujinga.
 
Back
Top Bottom