Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nini kipya, ajali ama train kukwama ovyo ovyo?
but why are you speaking on behalf of electric train members, why not focus on your own train after all izo trains zpo nyingi zingine hata hazijaanza kutumika, why are you making it a big deal
 
How can you be proud of democracy? whats wrong with you people? how can you create a group of people to hate ruto because he created a group(political party) which is only valid on paper?
What is this newbie even saying? Tanzanians and brains clearly don't mix.
 
Uzuri hiyo gari moshi letu halijawaianguka kama yenu😂😂
Basi usifanye comparison ya vitu tofauti ambavyo havifanania maana hata ile yetu ya tazara haijawahi anguka toka miaka ya 60 sasa nyie mnaongolea reli baada ya juzi tu mchina kuja kuwajengea?
 
but have you ever thought of life after afcon?
If you care that much to know, Rugby will keep that stadium alive !.current top Rugby stadium (RFUEA grounds) is not big enough to accommodate the fan base . Kenya will have a chance to host many events including major concerts. It will be everybody’s dream to be there .
 
sijui hiyo GDP inawanufaisha nini wakati hawezu kufinance hata barabara za mitaa kazi yao ni kumpa mchina akusanye tolls huku wakiwa wamejificha kwenye kivuli cha ubepari huku anaefinance na collect pesa ni macommunist
Kama serikali inawasaidia kwa wananchi wao kuwaamini na kuwa vilaza,nchi ambayo mtu anaishi kwa 1$ kwa siku lakini mtu huyo huyo anaamini nchi yake ni tajiri
 
BTW, Since uchakuguzi wa Vumbistan ukaribia wamekuwa quiet sana humu. Huwa wanasema uchaguzi wetu una tension ila huu wao umezidi. Ni kama wamerealize hizo chocha zao ni hot air na wako disappointed sana na jinsi nchi inavyoenda. Naona kama hawajiamini kivile. Wanaopost humu ni newbies watupu. Wale magwiji wamepotea. What's happening Geza Ulole instanbul Chamoto et al?
 
Back
Top Bottom