Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Physics gani na wewe ni primary school dropout, train inaanguka kwa station wewe unatuambia ni speed. Enyewe fala ni fala tu, hivi hujui hata train yenye inaenda kwa speed ya 40kph can derail. Rudi shule utoe ujinga.
Acha ujinga kama hujui vitu ficha ujinga wako uache kujiaibisha hapa. Hapa tuna deal na centrifugal force kwa wewe layman huwezi jua laws of motion.
 
Wewe acha ufala... Treni ile ni EMU...ni express...haisimami vituo vya njiani....pale Ruvu haikuwa inasimama ile ni hitilafu labda upande wa signalling....sio ubovu wa Gari... Ni ishu ya njia na miundombinu yake.

Treni ni full automatic, pale ni kwenye points... So ni kawaida ajali nyingi za treni za Umeme huwa zinatokea vituoni... Kwa sababu hapo ndio umakini unatakiwa uwepo kwa kiwango Cha juu. Ripoti ikitoka wazi for public tunaweza Pata habari labda ni ishu ya negligence in safety protocols on points...

Sasa nyie kenge wa North haya mambo ya electric trains hamuwezi kuelewa... Bakini mkipiga kelele tu za chuki na wivuu.... Kudos kwa CXR ... safari zimerejea just in few hours...
Hawa kima hawana uzoefu na electric trains lakini wanapenda ku comment on matters involving electric trains kama vile na wao wanazo kumbe wanaleta hapa ujuzi wa gari moshi 🤣🤣🤣
 
View attachment 3492757
Na utajiri wenu wote still mkaja kutuomba sisi maskini dawa ya tb,huo ugali wa nyasi unawaharibu akili
Umeona ujifariji na hiyo? Drugs ambazo hamjui hata formula ya kutengeneza! How about this kijana wa Tandale?
Screenshot_20220501-110859~2.png
 
Honestly I love my country Tanzania so much, but huu utawala wa sasa binafsi siupendi. Mbaya zaidi mamilioni ya Watanzania wanasupport huu utawala, so nimeamua tu kukaa kimya nifanye mambo yangu nisubiri tu 2030 aje Rais mwingine
Nakumbuka Kenya mmeprotest sana against government na watu wengi wamekufa, mlivamia bunge, mkaharibu mali nyingi, lakini mwisho wa siku Rais amebaki yuleyule tu.
Museven naye anaongoza Uganda miaka na miaka hataki kuachia ngazi
Ni kama kwenye siasa East Africa imelaaniwa hivi
View attachment 3492762
I'm not saying there's no authoritarianism in Kenya but you can't compare what we have here in Kenya with what you guys (Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi) go through. We are not the same.
 
I'm not saying there's no authoritarianism in Kenya but you can't compare what we have here in Kenya with what you guys (Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi) go through. We are not the same.
I don't know which factors have you used to group those countries, but I agree with you that we are not the same, but no one is better
We are not the same because every country has her own specific unique problems in politics, The reason why unaona kuna tension kubwa Tanzania na Uganda kwa sasa ni kwamba sisi tunaelekea kwenye General Election, Kenya is not
 
I don't know which factors have you used to group those countries, but I agree with you that we are not the same, but no one is better
We are not the same because every country has her own specific unique problems in politics, The reason why unaona kuna tension kubwa Tanzania na Uganda kwa sasa ni kwamba sisi tunaelekea kwenye General Election, Kenya is not
When it comes to democracy we are way better buana. The last time an opposition leader was arrested by the ruling party in a bid to prevent them from running was in 1992 and there was so much demonstrations that the arrested individuals were released (a privilege that Tanzania is yet to achieve). Mark you, they were not even the most popular candidates in the opposition. If you are 19 today, that was 14 years before you were born. In 2025, Ruto cannot even fathom arresting opposition leaders with impunity like it happens in the other 4 countries I mentioned. In short, you guys are where we were in 1982 - that is 43 years ago. We are clearly not the same in that respect. Sisi tunakuanga na tension towards election but the problem of candidates being arrested and barred from contesting is too foreign to us. Ni kama ng'ombe kutoa maziwa ya blue.
 
Back
Top Bottom