Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Electric SGR imeamua iache track itafute shortcut kwa misitu ili ifike haraka😂😂😂


View: https://x.com/MariaSTsehai/status/1981259288505983158?t=HUhpGxl-2Lcvmse_17Agmw&s=19

Hii train ya bongoslum itatuonyesha mambo. 🤣 🤣 🤣 Anyway, I blame their government, they didn't allow their people to be trained well enough before they begin to run the project. Walikua wanatucheka eti reli yetu inaendeshwa na wachina, they didn't know tulikua tunapewa skills transfer vile inafaa.
 
Madhara ya kunywa pombe chafu chafu naona wakunya wanatapika tapika tu.... Hotel zote kunyaland ziwe zinafata supply ya vinywaji Bongo

Screenshot_20251023-115049.png
 
Lakini kwa ground kunyani dwellers wataendelea kufa kwa njaa na umasikini na wengine kuuzwa gulf na madalali wa watumwa wanaowaita maagent
Kwa hivyo huko bongoslum hamkufi na umaskini? Kama huwezi changia hoja kama mtu amesoma ni heri unyamaze.
 
Kwa hivyo huko bongoslum hamkufi na umaskini? Kama huwezi changia hoja kama mtu amesoma ni heri unyamaze.
Leta ushahidi ila ushahidi wa kenya ikiomba na kupokea misaada ya hada na nchi zilizopo jagwani nafikiri itakuwa nchi ya kwanza kuwa upper middle income huku mamilion ya wananchi wakiwa hawezi afford chakula na wengine wakiwa wamekata tamaa
 
Back
Top Bottom