Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,883
- 22,305
Nani, Rostam?Jamaa yupo serious na BRT.
View attachment 3489799
Nani, Rostam?Jamaa yupo serious na BRT.
View attachment 3489799
Huyu Nyumbu mwaiofhawaii amelike post yako.Shida ya Tanzania kama kawaida ni lugha ya Kiingereza. Ningejua ningeandika kwa Kiswahili tu. 🤣 🤣 What do they teach you in High School English classes bro? 🤣🤣
Nimeandika "Tanzanian flag is no more similar to the SA flag than the Kenyan flag is"
It is a comparison between the countries (Kenya and Tanzania), not across time.
Mje Kenya tuwafunze lugha ya Kiingereza.
Ila leo umenichekesha sana na ignorance yako. Itabidi nilale na viatu. 🤣 🤣
South B and C could be a major capital City of many countries.Eti kila kitu CBD. Ebu atuambie hii ni CBD gani basi?
![]()
Wabongo mnajua sana kutunga na kuimba nyimbo za mapenzi ila nyimbo za uzalendo, siasa na general conscious issues hamfikii Kenya ndio maana nyimbo zingine zilizotungwa na Wakenya mnazichukua mkizigeuza kambe za Tanzania kwa global arena kama huu hapa.
View: https://www.youtube.com/watch?v=irmv5Cpuuzo&list=RDirmv5Cpuuzo&start_radio=1
Kuna wakati nikiwa Tanzania nimeskia pia huu wimbo wa Daima Mkenya wa Eric Wainaina ukiimbwa ila ulibadilishwa kuwa Daima Mtanzania. Hiyo version sijaipata YouTube.
View: https://www.youtube.com/watch?v=LdXhhm9dAmA&list=RDLdXhhm9dAmA&start_radio=1
Keep digging the hole ..I am chilling with my popcorn..😄😄Huyu Nyumbu mwaiofhawaii amelike post yako.
Usage ya "no more similar" ni ambiguous ila kwa sababu wewe huna akili za hivyo na unaokota chochote so long ni grammatically correct ndi9o shida. Ila kwa vile unataka kumaanisha, ungekua clear na kuavoid any ambiguity, ni vyema utumie "not more similar". 🚮
True funny story . i was with an assigment group to the south Pacific islands of American Samoa. During the welcome ceremony by the High Chief , we were entertained by the local traditional dancers ( almost African). I couldn’t believe my ears when I heard … Jambo Bwana , Habari gani Mzuri sana, wageni mwakaribishwa, Samoa yetu hakuna Matata … ( though with an accent)… I didn’t want to create a scene since I was there as an American but I chatted with the group leader after and told him about the origin of the song . He told me it was introduced there by sailors a long time ago . I still haven’t dug into that history yet . You can imagine how fascinated I was …
Wabongo mnajua sana kutunga na kuimba nyimbo za mapenzi ila nyimbo za uzalendo, siasa na general conscious issues hamfikii Kenya ndio maana nyimbo zingine zilizotungwa na Wakenya mnazichukua mkizigeuza kambe za Tanzania kwa global arena kama huu hapa.
View: https://www.youtube.com/watch?v=irmv5Cpuuzo&list=RDirmv5Cpuuzo&start_radio=1
Kuna wakati nikiwa Tanzania nimeskia pia huu wimbo wa Daima Mkenya wa Eric Wainaina ukiimbwa ila ulibadilishwa kuwa Daima Mtanzania. Hiyo version sijaipata YouTube.
View: https://www.youtube.com/watch?v=LdXhhm9dAmA&list=RDLdXhhm9dAmA&start_radio=1
Shida yenu kubwa ni ujinga, ulimbukeni, ujuaji usio na mpango na majigambo.
Elimu yenu ilijikita zaidi kwenye ku-look down upon everything Tanzanian kama moja ya mambo muhimu ya ku-discredit our socialist ideologies. Mmekuwa doctrinated hivyo na wengi wenu bado mnaamini hivyo..
Similarly kama sisi tulivyotumia land grabbing in Kenya na maisha yenu ya njaa na taabu nyingi to address the evils of capitalism.
Effects za unyama wa capitalism in Kenya ni real na very vivid while imani za Wakenya kuwa Tanzanians are lazy, poorer na less innovative than them ni uongo. Tanzania ina nyimbo nyingi sanaaaa na wana muziki wengi sana na nyimbo nyingi zinazoimbwa na Wakenya ni replica ya Zilipendwa za Wazee wetu, "Zilipendwa" nyimbo za kale.
Mfano: Varda arts- Salama Tanzania
"Ukiuliza habari
Salama Tanzania
Funga safari ya Tanzania Tanzania Tanzania
Salama Tanzania"
View: https://m.youtube.com/watch?v=0tU0GcTUrDM
Sasa ni vile tu tunakaa kimya na wizi wenu wa kila namna.
Siku hizi hawataki tenda battle kama zamani sababu wanaelewa kitachowakuta 😂😂Leo imebidi nirudi nipitie hii battle ya shule Kenya vs Tanzania kwenye hii thread, post za 2023 huko. Hapa hakika tuliwapiga za uso hadi wakakimbia wenyewe na wao ndo walileta mada za shule 😂😂
Wow! Kenyans are really good at composing patriotic songs then. Seems the whole world is singing it.True funny story . i was with an assigment group to the south Pacific islands of American Samoa. During the welcome ceremony by the High Chief , we were entertained by the local traditional dancers ( almost African). I couldn’t believe my ears when I heard … Jambo Bwana , Habari gani Mzuri sana, wageni mwakaribishwa, Samoa yetu hakuna Matata … ( though with an accent)… I didn’t want to create a scene since I was there as an American but I chatted with the group leader after and told him about the origin of the song . He told me it was introduced there by sailors a long time ago . I still haven’t dug into that history yet . You can imagine how fascinated I was …
Heri ungenyamaza tu instead of embarassing yourself more.🤣🤣Huyu Nyumbu mwaiofhawaii amelike post yako.
Usage ya "no more similar" ni ambiguous ila kwa sababu wewe huna akili za hivyo na unaokota chochote so long ni grammatically correct ndi9o shida. Ila kwa vile unataka kumaanisha, ungekua clear na kuavoid any ambiguity, ni vyema utumie "not more similar". 🚮
Shida yenu kubwa ni ujinga, ulimbukeni, ujuaji usio na mpango na majigambo.
Elimu yenu ilijikita zaidi kwenye ku-look down upon everything Tanzanian kama moja ya mambo muhimu ya ku-discredit our socialist ideologies. Mmekuwa doctrinated hivyo na wengi wenu bado mnaamini hivyo..
Similarly kama sisi tulivyotumia land grabbing in Kenya na maisha yenu ya njaa na taabu nyingi to address the evils of capitalism.
Effects za unyama wa capitalism in Kenya ni real na very vivid while imani za Wakenya kuwa Tanzanians are lazy, poorer na less innovative than them ni uongo. Tanzania ina nyimbo nyingi sanaaaa na wana muziki wengi sana na nyimbo nyingi zinazoimbwa na Wakenya ni replica ya Zilipendwa za Wazee wetu, "Zilipendwa" nyimbo za kale.
Mfano: Varda arts- Salama Tanzania
"Ukiuliza habari
Salama Tanzania
Funga safari ya Tanzania Tanzania Tanzania
Salama Tanzania"
View: https://m.youtube.com/watch?v=0tU0GcTUrDM
Sasa ni vile tu tunakaa kimya na wizi wenu wa kila namna.
Ni eneo lipi Kunyaland hakuna slums? Mpaka vijijini kuna slums
View: https://x.com/NinyeTabz/status/1979095442496307595?t=dIPbl_a4ETLiqkDQ3J64sA&s=19
The guy huwa anaumizwa na hii graph vibaya Sana😂😂.First of all, that is Uganda's side of Busia, not Kenya's side. Secondly, if those are slums then the whole of Dar is a slum.