Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Eti kwa kuwa mnajenga majengo marefu mengi basi na Tanzania ndio tufanye hivyo.
Mnajenga majengo mengine above 20 floors lakini sio massive ukifananisha na EACLC hapa Ubungo ambalo ni fupi but ni bigger, more expensive and more modern than your so called "20 floors buildings"
How old did you say you are again?
 
What's mordern about that logistics center? Can you point out one thing that sets it apart from other buildings that makes it mordern?

What's the total construction cost of that building in relation to the buildings under construction in Nairobi?
EACLC ni integrated commercial + logistics sio "some random 20 floors building". Ni mixture ya warehouses, vituo vya e-commerce, maduka (2,060 units) na ofisi chini ya paa moja, yote karibu na bandari ya Dar, ili kupunguza muda wa kusafirisha mizigo.

Ina digital systems za usimamizi wa warehouses, cargo tracking na co-ordination ya usafirishaji, inakusudia kuokoa turnaround time ya mizigo kutoka siku 7 hadi chini ya 3. Hiyo ni sifa ya kisasa kwa kituo cha mzigo.

Ni kubwa kwa eneo (~75,000 m², 4 levels) si “tall” lakini ni massive and purpose-built kwa biashara/warehousing, tofauti na towers za ofisi au apartments

Kwa viwango vya ujenzi vya luxury highrise Nairobi, ripoti za karibuni kwa hiyo sector zinaonyesha viwango karibu KSh 100,800 / m² kwa “luxurious high-rise office” (mwisho wa data za 2024–2025). Hii ni mfano wa reference ya soko la Nairobi.

Kwa hiyo urefu si ubora, EACLC sio ‘tall’ lakini ni purpose-built hub: 75,000 m² ya maduka, maghala na e-commerce systems, cargo-tracking na warehouse management, ilijengwa kwa ~US$110M. Kwa m² hiyo ni gharama kubwa kuliko viwango vya juu vya majengo mengi Nairobi, lakini ni tofauti kabisa kwa namna ilivyoundwa (logistics + tech) ukifananisha na office towers
 
You knew that but still went at it literally just to avoid accepting the truth?
He also conveniently sidestepped the part where I explained how the Tanzanian flag is no more similar to the SA flag than the Kenyan flag is and instead digressed by taking a clear hyperbole literally. I once said here the guy is a very good debator until he finds himself in a tight corner then he becomes senseless like the rest of them bongolalas.
I honestly fail to see any meaningful resemblance between the South African and Tanzanian flags, my friend. The Tanzanian flag contains neither white nor red, and it features a bold diagonal stripe, whereas South Africa’s flag is distinguished by an inverted “Y” design. In fact, Kenya’s flag shares an equal number of colours with South Africa’s—four—and the shades are even more closely aligned than those on Tanzania’s flag, whose blue and green tones are noticeably lighter. You Bongolalas accuse Kenyans of craving praise, yet you seem to have mastered that art yourselves. At this rate, you’d probably accuse others of imitation simply for breathing.
 
How old did you say you are again?
Hii ni logical fallacy tunaita "ad hominem" hasa aina ya "ad hominem circumstantial" au "ad hominem abusive"
Unashambulia mtu mwenye hoja badala ya hoja yenyewe

Mfano
Man 1: “Ufisadi unasababisha umasikini.”
Man 2: “How old are you? Unajua nini kuhusu uchumi?

Less intelligent people wanatumia hii mbinu kuwin arguments. Sishangai
 
He also conveniently sidestepped the part where I explained how the Tanzanian flag is no more similar to the SA flag than the Kenyan flag is and instead digressed by taking a clear hyperbole literally. I once said here the guy is a very good debator until he finds himself in a tight corner then he becomes senseless like the rest of them bongolalas.
apt!
 
Hii ni logical fallacy tunaita "ad hominem" hasa aina ya "ad hominem circumstantial" au "ad hominem abusive"
Unashambulia mtu mwenye hoja badala ya hoja yenyewe

Mfano
Man 1: “Ufisadi unasababisha umasikini.”
Man 2: “How old are you? Unajua nini kuhusu uchumi?

Less intelligent people wanatumia hii mbinu kuwin arguments. Sishangai
🚮 🚮 🚮
 
Kariakoo concrete Jungle
IMG-20251017-WA0005.jpg
IMG-20251017-WA0008.jpg
IMG-20251017-WA0009.jpg
IMG-20251017-WA0010.jpg




The video is here

View: https://youtu.be/kV3PYXTImLU?si=fxXYZliv_4B3HYP_
 
😂😂😂😂haya!, ni makosa niki wauliza ni kwanini hua mnatokwa na Mishipa ya hasira mkiambiwa ukweli kwamba Dar imeizidi mombasa tu kwenye 3 mtungi looking blue towers na brt? 🤣😂😂😂🙌🙌
Dar👇
Screenshot_20251017_123709_Chrome.jpg
Mombasa!👇👏
Screenshot_20251017_112814_YouTube.jpg
Screenshot_20251017_111538_YouTube.jpg
Screenshot_20251017_111646_YouTube.jpg
Screenshot_20251017_112201_YouTube.jpg
 
Back
Top Bottom