Ni eneo lipi Kunyaland hakuna slums? Mpaka vijijini kuna slums
View: https://x.com/NinyeTabz/status/1979095442496307595?t=dIPbl_a4ETLiqkDQ3J64sA&s=19
Tukisema kinaislum ni kidogo kama piriton huwa mnapandisha kisukari, angalia hilo pori nyuma ya railway lineStop the desperation mnyamwezi. Why would Bobby Wine campaign in Kenya? And don't you know that Busia is a border town with two sides? That's the Ugandan side of Busia town. Stop the desperation na ulimbukeni
Kama hizo ni slums in the background, then I don't know what to call the shanties in Dar that spread all over the place!
You seem to have issues with comprehension of the English language. What you are talking about would be written as "no longer similar." Jeez...Huyu Nyumbu mwaiofhawaii amelike post yako.
Usage ya "no more similar" ni ambiguous ila kwa sababu wewe huna akili za hivyo na unaokota chochote so long ni grammatically correct ndi9o shida. Ila kwa vile unataka kumaanisha, ungekua clear na kuavoid any ambiguity, ni vyema utumie "not more similar". 🚮
1. Do you know that Nai is the only large city in the world with a national park? Hilo ni pori linalowavutia wataliiwengi kutoka kenya na ulimwenguni kutizama wanyama. Pengine ulitarajia kuwa kuna watu wanaishi humo. Hapa sio Tanzania boss.Tukisema kinaislum ni kidogo kama piriton huwa mnapandisha kisukari, angalia hilo pori nyuma ya railway line View attachment 3490248
Na huo udogo wake it's still much wealthier than Dar three times.Tukisema kinaislum ni kidogo kama piriton huwa mnapandisha kisukari, angalia hilo pori nyuma ya railway line View attachment 3490248
After kukuaibisha na kukosa comeback umerudi kujifariji. That's South C kijana wa Tandale. Najua kwa akili yako unadhani ni cbd. No bongolala, it's just South C, a residential area on the edge of Nairobi National Park. Look at that skyline! Not comparable to anywhere in Dar ukiondoa posta. Utaumia sana na bado😂😂Tukisema kinaislum ni kidogo kama piriton huwa mnapandisha kisukari, angalia hilo pori nyuma ya railway line View attachment 3490248
The guy thinks that's cbd. 🤣🤣🤣Hajui kwamba hapo ni South C. Yani hii Nairobi inazidi tu kuchanganya wanyamwezi Kila siku 🤣 🤣Na huo udogo wake it's still much wealthier than Dar three times.
So hiyo place umecircle ndio Nairobi yote?
Na anafaa kujua South C is not even among the top 10 places with tall buildings in Nairobi. Lakini sasa ukichukua hiyo South C alafu upeleke Dar, it will be the most developed area in Dar is slum.The guy thinks that's cbd. 🤣🤣🤣Hajui kwamba hapo ni South C. Yani hii Nairobi inazidi tu kuchanganya wanyamwezi Kila siku 🤣 🤣
I doubt kama kuna mahali popote Dar ukiondoa posta pa kulinganishwa na south C in terms of tall structuresNa anafaa kujua South C is not even among the top 10 places with tall buildings in Nairobi. Lakini sasa ukichukua hiyo South C alafu upeleke Dar, it will be the most developed area in Dar is slum.
Punguza matumizi mabovu ya nguvu, ungeweka hii uondoke1. Do you know that Nai is the only large city in the world with a national park? Hilo ni pori linalowavutia wataliiwengi kutoka kenya na ulimwenguni kutizama wanyama. Pengine ulitarajia kuwa kuna watu wanaishi humo. Hapa sio Tanzania boss.
2. Hio ni sehemu tu ya mtaa mmoja Nairobi. jifunze kusoma pia sio kutizama picha pekee bila kuelewa maelezo
Nionyeshe hapa ipo wapi South CAfter kukuaibisha na kukosa comeback umerudi kujifariji. That's South C kijana wa Tandale. Najua kwa akili yako unadhani ni cbd. No bongolala, it's just South C, a residential area on the edge of Nairobi National Park. Look at that skyline! Not comparable to anywhere in Dar ukiondoa posta. Utaumia sana na bado😂😂
Kumbe naislum zoo ni kubwa kuliko developed area na hapo bado misitu ya ngong na Karen na mapori mengine naislum, ndio maana slums ni nyingi, kaeneo kadogo equally to several basketball fields kameshona masikini million 7Na huo udogo wake it's still much wealthier than Dar three times.
So hiyo place umecircle ndio Nairobi yote?
UAE kapewa phase 1,route ya kimara,jan anaanza kaziKuna mtu nilisikia anasema BRT imekufa.
Imagine.
Na Bado phase 3 towards Airport inaweza anza early next year