Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama sisi sio creative why wasanii wetu na nyimbo zao ndio bora Africa mashariki na kati ya bora Africa?
Wabongo mnajua sana kutunga na kuimba nyimbo za mapenzi ila nyimbo za uzalendo, siasa na general conscious issues hamfikii Kenya ndio maana nyimbo zingine zilizotungwa na Wakenya mnazichukua mkizigeuza kambe za Tanzania kwa global arena kama huu hapa.

View: https://www.youtube.com/watch?v=irmv5Cpuuzo&list=RDirmv5Cpuuzo&start_radio=1

Kuna wakati nikiwa Tanzania nimeskia pia huu wimbo wa Daima Mkenya wa Eric Wainaina ukiimbwa ila ulibadilishwa kuwa Daima Mtanzania. Hiyo version sijaipata YouTube.

View: https://www.youtube.com/watch?v=LdXhhm9dAmA&list=RDLdXhhm9dAmA&start_radio=1
 
Yani Mbongolala akakaa Chini akaona Vumbistan ina maisha bora kuliko Chile. 🤣 🤣 🤣
santiago-chile-the-city-with-the-highest-hdi-in-south-v0-08jhmp5zdkoa1.jpg
1280px-Metropolitan_Cathedral_of_Santiago.jpg

Chile is the most developed country in South America, of course hawa primary school dropouts hawawezi jua. 🤣
 
Hizo zilizokuwa under construction huzioni ama? huku our buildings are scattered all over the place sio kama nyie kila kitu CBD huko Kawe iko tower nyingine inapanda sema sisi watu wetu huku hawana hulka ya kupigapiga picha majengo.
Bongolala did you say Kila kitu CBD? Is Westlands, Kilimani, Parklands, Kileleshwa, Eastleigh, South C and many other places part of CBD?

Are you aware that in Westlands alone, there are over 20 buildings currently under construction/approved over 20 floors? (Majority are actually twin towers of 25 floors and above)

Hapo sijataja Upper Hill, Kilimani na maeneno mengine. Nairobi is literally a construction site of highrises.

Show me anywhere in Dar with green nets everywhere like this picture of Nairobi below tuone.
images - 2025-10-17T212534.242.jpeg
 
View attachment 3490131
Mwambie CBD ya Nairobi has no building under construction currently that is above 10 floors, all the constructions are outside the CBD.
 
Bongolala did you say Kila kitu CBD? Is Westlands, Kilimani, Parklands, Kileleshwa, Eastleigh, South C and many other places part of CBD?

Are you aware that in Westlands alone, there are over 20 buildings currently under construction/approved over 20 floors? (Majority are actually twin towers of 25 floors and above)

Hapo sijataja Upper Hill, Kilimani na maeneno mengine. Nairobi is literally a construction site of highrises.

Show me anywhere in Dar with green nets everywhere like this picture of Nairobi below tuone.
View attachment 3490131

Eti kila kitu CBD. Ebu atuambie hii ni CBD gani basi?

Image
 
Back
Top Bottom