Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni kweli tulianza kuwa na mafisadi papa Tanzania kama kwenu, kuanzia kipindi cha rais Mkapa 1995. Ila tutawaondoa, tulijaribu kipindi cha Magufuli tukaweka sheria ya permanent sovereignty and natural resources. Hii sheria tuu ilileta $$ milionea wengi Tanzania.

Mafisadi wakamuua Magufuli, utaona angalau tunavyowakalia kooni mafisadi wetu, siyo nyinyi mnawatetea, mnajifanya kuandamana lakini hakuna impact yoyote ya maana.
Wanawatetea on the pretext of tribalism. Wajinga sana hawa nyangau.
 
Ndiyo, Tanzania kuna tatizo kubwa la kuweka record za mapato, hata kwenye umiliki wa nyumba hakuna record, angalia madalali wanaouza nyumba za $1M, unakuta zote hizo hazijumuishwi kwenye utajiri wa watu.

Ndiyo maana kwenye ukusanyaji wa kod, mnatushinda.
You guys will claim you don't have good systems of keeping every record except when it comes to poverty. That's why you're so deluded you believe Dar has no slums.
 
when poor meets rich 😂😂😂
CBD ya singapore
IMG_9058.jpeg
 
I don’t what that means but regardless, Kenya welcomes the opportunity since it benefits the country economically and militarily. And don’t even patronize us on it since you are hypocrites.

To think that white people equal to the opportunity is a wicked mindset,woke up bro.
But we all know that Kenyans are good in kissing ass of wazungu, that's why you were good friends of apartheid South Africa
 
Back
Top Bottom